Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 57,800
- 92,257
Nilikua nimekaa jana maeneo ya Sinza, hakika hali si shwari kabisa, Ukata, Ukata, Ukata, Pombe imechachuka na wanalazimishwa kuinywa hivyo hivyo. Hakuna Madili tena, hakuna posho bali wana poshoka sasa, hakuna fadhila tena.
Jamaa mmoja ka-print mafulana na vitenge kibao kwa kuahidiwa vitu lukuki, maskini Analia sasa, jamaa hawapokei simu zake tena,, CCM tafadhali pokeeni simu za hawa watu, kisha muwalipe, tunajua ruzuku imepungua na huenda ikafutwa kabisa, vya kuchinja hamviwezi mlizoea vya kunyoga, Dah mwisho wenu umefika haraka kuliko tulivyotarajia.
Atakaebisha watu wataweka evidence hapa hapa jukwaani