mwakaleli83
Member
- Mar 19, 2015
- 10
- 21
mwaka huu tutaingia mtaani wananchi wote kupinga ccm kuchaguliwa, hata wakimsimamisha lowasa hampati ng'ooooooo
Kufuatia CCM kushindwa na nguvu kubwa ya ushawishi wa Lowassa katika harakati za kumpata mgombea sasa wakubali yaishe na kusema tuache wanachama waamue kuchagua mtu wanayeona anafaa.
CCM wamefikia uamuzi huo baada ya kurudi nyuma na kukumbuka kilichowapata katika uchaguzi uliopita hasa katika ngazi ya ubunge wakitolea mfano kama kilichotokea Iringa Mjini na kule Shinyanga kwa bwana Shibuda na kubaini kilicho wacost ni kulazimisha mtu wanayemtaka wao na sio wamtakae wanachama.
Kwa sasa Lowassa ndie mtu pekee mwenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya chama hivyo kukata jina la Lowassa ni CCM ndio tuseme wamechoka kukaa madarakani.

Ndani ya ccm lowasa hana mpinzani. Richmond itaongoza nchi kwa mlango wa nyuma! Watanzania tusipokuwa makini tutalia na kusaga meno!
Sasa haya makubwa,ina maana kuwa Makonda kaufyata kwa Lowassa,Nape nae kaufyata kwa Lowassa kwa kumuona kuwa Lowassa amekuwa msafi na ahitajiki kusafishwa tena kwa dodoki kwenye majukwaa.Kufuatia CCM kushindwa na nguvu kubwa ya ushawishi wa Lowassa katika harakati za kumpata mgombea sasa wakubali yaishe na kusema tuache wanachama waamue kuchagua mtu wanayeona anafaa.