Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Hiyo ndio kijani bwana.Kuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano:
Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini Tunashangilia Tena.
Juzi Tulishangilia Tozo Zilivyowekwa Leo Tozo Zimepunguzwa Tunashangilia Tena,
Tulisimama na Mwenyekiti kwamba hakuna Corona Tanzania, leo tumesimama na Mwenyekiti mpya kwamba corona ipo na chanjo ni muhimu
Tulisimama na spika kwamba wanaotaka kuchanjwa ni vibaraka wa mabeberu na kuwafukuza bungeni, leo tumewafukuza Bungeni waliotukumbusha msimamo wetu wa jana.
Tulishangilia Sabaya anachapa kazi, tukamzomea alipotumbuliwa, tunashangilia Tena kwamba alitishiwa kuuwawa na Mbowe.
Kwa namna tunavyobadilika kwa kasi hata wapinzani zetu awawezi kufikia Kasi hiiππππ
Leta ushahidi wa haya yote unayosema bila kusahau kuwa tupo awamu ya 6 na sio ile ya Mi5 tenaKuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano:
Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini Tunashangilia Tena.
Juzi Tulishangilia Tozo Zilivyowekwa Leo Tozo Zimepunguzwa Tunashangilia Tena,
Tulisimama na Mwenyekiti kwamba hakuna Corona Tanzania, leo tumesimama na Mwenyekiti mpya kwamba corona ipo na chanjo ni muhimu
Tulisimama na spika kwamba wanaotaka kuchanjwa ni vibaraka wa mabeberu na kuwafukuza bungeni, leo tumewafukuza Bungeni waliotukumbusha msimamo wetu wa jana.
Tulishangilia Sabaya anachapa kazi, tukamzomea alipotumbuliwa, tunashangilia Tena kwamba alitishiwa kuuwawa na Mbowe.
Kwa namna tunavyobadilika kwa kasi hata wapinzani zetu awawezi kufikia Kasi hiiππππ
CCM kumejaa watu wajinga snKuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano:
Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini Tunashangilia Tena.
Juzi Tulishangilia Tozo Zilivyowekwa Leo Tozo Zimepunguzwa Tunashangilia Tena,
Tulisimama na Mwenyekiti kwamba hakuna Corona Tanzania, leo tumesimama na Mwenyekiti mpya kwamba corona ipo na chanjo ni muhimu
Tulisimama na spika kwamba wanaotaka kuchanjwa ni vibaraka wa mabeberu na kuwafukuza bungeni, leo tumewafukuza Bungeni waliotukumbusha msimamo wetu wa jana.
Tulishangilia Sabaya anachapa kazi, tukamzomea alipotumbuliwa, tunashangilia Tena kwamba alitishiwa kuuwawa na Mbowe.
Kwa namna tunavyobadilika kwa kasi hata wapinzani zetu awawezi kufikia Kasi hiiππππ
Ushahidi gani unataka?Leta ushahidi wa haya yote unayosema bila kusahau kuwa tupo awamu ya 6 na sio ile ya Mi5 tena
Kumbe umekwisha hama upinzani? Karibu sana CCM.Kuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano:
Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini Tunashangilia Tena.
Juzi Tulishangilia Tozo Zilivyowekwa Leo Tozo Zimepunguzwa Tunashangilia Tena,
Tulisimama na Mwenyekiti kwamba hakuna Corona Tanzania, leo tumesimama na Mwenyekiti mpya kwamba corona ipo na chanjo ni muhimu
Tulisimama na spika kwamba wanaotaka kuchanjwa ni vibaraka wa mabeberu na kuwafukuza bungeni, leo tumewafukuza Bungeni waliotukumbusha msimamo wetu wa jana.
Tulishangilia Sabaya anachapa kazi, tukamzomea alipotumbuliwa, tunashangilia Tena kwamba alitishiwa kuuwawa na Mbowe.
Kwa namna tunavyobadilika kwa kasi hata wapinzani zetu awawezi kufikia Kasi hii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ccm kama misukule vile yaani. Huku wapo huko wapo na pale wapo.Kuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano:
Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini Tunashangilia Tena.
Juzi Tulishangilia Tozo Zilivyowekwa Leo Tozo Zimepunguzwa Tunashangilia Tena,
Tulisimama na Mwenyekiti kwamba hakuna Corona Tanzania, leo tumesimama na Mwenyekiti mpya kwamba corona ipo na chanjo ni muhimu
Tulisimama na spika kwamba wanaotaka kuchanjwa ni vibaraka wa mabeberu na kuwafukuza bungeni, leo tumewafukuza Bungeni waliotukumbusha msimamo wetu wa jana.
Tulishangilia Sabaya anachapa kazi, tukamzomea alipotumbuliwa, tunashangilia Tena kwamba alitishiwa kuuwawa na Mbowe.
Kwa namna tunavyobadilika kwa kasi hata wapinzani zetu awawezi kufikia Kasi hiiππππ
Na kichwa maji anasema Yesu alioa na tukagonga meza kushangiliaKuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano:
Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini Tunashangilia Tena.
Juzi Tulishangilia Tozo Zilivyowekwa Leo Tozo Zimepunguzwa Tunashangilia Tena,
Tulisimama na Mwenyekiti kwamba hakuna Corona Tanzania, leo tumesimama na Mwenyekiti mpya kwamba corona ipo na chanjo ni muhimu
Tulisimama na spika kwamba wanaotaka kuchanjwa ni vibaraka wa mabeberu na kuwafukuza bungeni, leo tumewafukuza Bungeni waliotukumbusha msimamo wetu wa jana.
Tulishangilia Sabaya anachapa kazi, tukamzomea alipotumbuliwa, tunashangilia Tena kwamba alitishiwa kuuwawa na Mbowe.
Kwa namna tunavyobadilika kwa kasi hata wapinzani zetu awawezi kufikia Kasi hii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna mambo inabidi uwe na akili ya mwendawazimu ili uweze kinafanya...Kuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano:
Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini Tunashangilia Tena.
Juzi Tulishangilia Tozo Zilivyowekwa Leo Tozo Zimepunguzwa Tunashangilia Tena,
Tulisimama na Mwenyekiti kwamba hakuna Corona Tanzania, leo tumesimama na Mwenyekiti mpya kwamba corona ipo na chanjo ni muhimu
Tulisimama na spika kwamba wanaotaka kuchanjwa ni vibaraka wa mabeberu na kuwafukuza bungeni, leo tumewafukuza Bungeni waliotukumbusha msimamo wetu wa jana.
Tulishangilia Sabaya anachapa kazi, tukamzomea alipotumbuliwa, tunashangilia Tena kwamba alitishiwa kuuwawa na Mbowe.
Kwa namna tunavyobadilika kwa kasi hata wapinzani zetu awawezi kufikia Kasi hiiππππ
Raha sana kuishi Tanzania, nchi ya watu kinyonga na vigeugeu wasiojielewa!Kuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano: