Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Haya mambo ya kuitana sijui mchumia tumbo ni wivu tu na kwa sababu wewe haujapewa nafasi, leo hii CCM wakimtaka yoyote yule ajiunge nao watampata na ataitosa chadema hata kama ni Mbowe, ni swala la dau tu, hivyo acheni Wivu wa kitoto, hakuna asiye na bei hasa kwenye nchi ambayo kila mtu ana asili ya Umaskini,...