Msulibasi JF-Expert Member Dec 2, 2014 5,911 7,823 Feb 4, 2016 #1 CCM Wakatazwe Mikutano ya hadhara Namfua na kwingineko kuleta usawa wa vyama . Vïnginevyo tutaandamana hadi kwa msajili vya vyama
CCM Wakatazwe Mikutano ya hadhara Namfua na kwingineko kuleta usawa wa vyama . Vïnginevyo tutaandamana hadi kwa msajili vya vyama
habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,743 Feb 4, 2016 #2 Rais niwa CCM, mawaziri wa CCM, polisi wako chini ya viongoz wanotokana Na CCM,,,,, loading...
Gilbert A Massawe JF-Expert Member May 14, 2015 4,912 3,991 Feb 4, 2016 #3 Sahau hilo subiri uchaguzi 2025
Madenge Origino JF-Expert Member Nov 6, 2010 1,847 1,095 Feb 4, 2016 #4 habari ya hapa said: Rais niwa CCM, mawaziri wa CCM, polisi wako chini ya viongoz wanotokana Na CCM,,,,, loading... Click to expand... Hata Msajili wa vyama ni wa CCM
habari ya hapa said: Rais niwa CCM, mawaziri wa CCM, polisi wako chini ya viongoz wanotokana Na CCM,,,,, loading... Click to expand... Hata Msajili wa vyama ni wa CCM
Dr. Msafiri JF-Expert Member Feb 14, 2011 471 154 Feb 4, 2016 #5 Hivi vyama vingine vya siasa havina sherehe zao?
habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,743 Feb 4, 2016 #6 anonymous x said: Hata Msajili wa vyama ni wa CCM Click to expand... Kila kitu, majaji, mahakimu wote hawa ni makada
anonymous x said: Hata Msajili wa vyama ni wa CCM Click to expand... Kila kitu, majaji, mahakimu wote hawa ni makada