CCM wajibu Mapigo Arumeru

Wakuu hawa ma.gamba wakitupa ela tufanyeje?au tupokee lakini kura ni siri yetu?
 
tunategemea watoe hotuba zinazojibu kero za wananchi sio kusemana au kupigana vijembe
 
kampeni za kistaarabu plz,hatutaki kuskia tindikali na mapanga na kuvuana hijabu kama igunga
 
huwa nakuja kukuona unavyonengua dada angu,leo pia nitakuwepo kwenye uzinduzi wenu,mnaanza saa ngapi?


Be careful usijeimbiwa wimbo " mgeni wetu ameingia....... ameumwaga *****.....chumbani hakukaliki......"
 
Kweli ccm wameenda arumeru kwenye tamasha la fiesta, mkimaliza Arumeru naomba mje na Kwetu Shinyanga!
 
Kwanini kampeni za magamba mpaka wanunue pombe,nyama choma, taarabu ndo tambiko lao alilowapa maji marefu.

Wana jf mlioko arumeru msisahau kupost picha za malori yaliyobeba wahudhuriaji wa ufunguzi pia na walevi waviroba na bia.
 
Kuleni jamani vya bure tu , kama ccm wanataka kura zenu kila kura moja wawape bando moja ya bati
 

Haya bana mgeni wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…