kwa hali ilivyo, CCm hawawezi kushinda bali wanaweza kutangaza washindi. Ndiyo maana wanasomba watu ili waonekane kuwa watu wako wengi maana siku wakiiba kura, watu wakija juu, waweze waseme unaona mahudhurio ya wananchi katika mikutano yetu? Lakini wote tunajua janja ya nyani kula mahindi mbichi. Kwa uhalali, CCM hawawezi kuzidi 20%