Elections 2010 Ccm wahaha kutafuta ushindi 2010

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
537
katika hali inayoonyesha kuwa kuingia kwa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu ni pigo kubwa kwa CCM na Kikwete, CCM wanahaha kutafuta ushindi ambao wanadhani unaweza kuwaponyoka wakati wowote. Hali hiyo imedhihirishwa na matumizi ya mabilioni ya fedha kwa ajili ya kampeni. Hivi sasa CCM wanabandika mabango ya mgombea wao kila baada ya mita mia moja nchi nzima kuhakikisha kuwa mgombea wao anatambulishwa kwa watanzania pamoja na kuwa watanzania wanamfahamu fika kwa muda wa miaka mitano aliowatumbukiza kwenye hali ngumu ya maisha. Jana nimewakuta mafundi wakiangaika wakiendelea kusimika bill boards na kubandika picha za mgombea wa CCM kwenye barabara ya sam Nujoma. Barabara imechafuka picha za Kikwete na CCM yake.

DR. Slaa kaza buti CCM wageuke wapinzani kuanzia November
 
Naogopa kuwa muda umewaishia, na hawana lakufanya zaidi ya kujaribisha kila mbinu!
Labda wajaribu kuweka mabango yanayoongea, na yawe yanaeleza sera zinazotekelezeka!
 
chema chaziuza ndugu na kibaya chajitembeza, wabandike mabango mpaka kwenye bongo the watu, they wont change their minds
 
machapisho kama haya yanatakiwa kuchapwa na kudondoshwa/kusambazwa ili watu wapate ujumbe huu, hasa wa vijijini au wasio na internet, maana chichiemu wanafanya makusudi watu wasi pate umeme, ili wasijue mambo yanavyo kwenda.
 
katika hali inayoonyesha kuwa kuingia kwa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu ni pigo kubwa kwa CCM na Kikwete, CCM wanahaha kutafuta ushindi ambao wanadhani unaweza kuwaponyoka wakati wowote. Hali hiyo imedhihirishwa na matumizi ya mabilioni ya fedha kwa ajili ya kampeni. Hivi sasa CCM wanabandika mabango ya mgombea wao kila baada ya mita mia moja nchi nzima kuhakikisha kuwa mgombea wao anatambulishwa kwa watanzania pamoja na kuwa watanzania wanamfahamu fika kwa muda wa miaka mitano aliowatumbukiza kwenye hali ngumu ya maisha. Jana nimewakuta mafundi wakiangaika wakiendelea kusimika bill boards na kubandika picha za mgombea wa CCM kwenye barabara ya sam Nujoma. Barabara imechafuka picha za Kikwete na CCM yake.

DR. Slaa kaza buti CCM wageuke wapinzani kuanzia November

Hahaha ..... hAKUNA JIPYA MANENO YA WAKOSAJI HAYA!....... JAKAYA MWENDO MDONDU AISEE MWAKA HUU USHINDI WA KISHINDO 97% ILIYOBAKI 3% MTAGAWANA WAPINZANI
 
Endelea kujipa matumaini mwaka huu mtakaa pembeni.
 
DR. Slaa kaza buti CCM wageuke wapinzani kuanzia November

Watanzania wapenda mabadiliko wakaze buti sio Dr. Slaa peke yake, jukumu hilo ni la Watanzania wote sio la Chadema au Dr Slaa peke yake.

Dawa ni kujitokeza kwa wingi sana tarehe 31 Oktoba 2010 na kupiga kura kwa chama makini, chama ambacho hakijaahidi uongo hata siku moja na kikiahidi ukweli kinaambiwa haiwezekani.

hahaha ..... Hakuna jipya maneno ya wakosaji haya!....... Jakaya mwendo mdondu aisee mwaka huu ushindi wa kishindo 97% iliyobaki 3% mtagawana wapinzani
oops!!!, you seems to be out of touch, sorry, this time we are saying no, for this dirty stuff that has eaten the nation for quite a long time.
 
CCM wako kwenye kuta za nymba, CHADEMA iko ndani ya mioyo ya watu.
 
Freeman Mbowe 2005 mikutano yake ilikuwa inajaza watu kama hii ya Wilberd Slaana matumizi ya HELKOPTA na la kushangaza Mbowe alikubali kushindwa kwa kishindo tena alihunduria kuapishwa kwa JK wakati CUF na TLP walikataa kukubali matokeo! jee DR. Slaa atakuwa tayari kufuata nyayo za Mwenyekiti wake Mbowe kukubali matokeo ya ushindi wa CCM wa TSUNAMI?
 
Ukiwa na njaa unaweza kutoa hata ur dirty hole ili upate angalao shibe....that is what ms and company are doing...njaa mbaya.
 
Freeman Mbowe 2005 mikutano yake ilikuwa inajaza watu kama hii ya Wilberd Slaana matumizi ya HELKOPTA na la kushangaza Mbowe alikubali kushindwa kwa kishindo tena alihunduria kuapishwa kwa JK wakati CUF na TLP walikataa kukubali matokeo! jee DR. Slaa atakuwa tayari kufuata nyayo za Mwenyekiti wake Mbowe kukubali matokeo ya ushindi wa CCM wa TSUNAMI?

JK atakuwa tayari kuwa wa kwanza na kutengeneza historia kushiindwa akiwa madarakani? atahudhuria?
 
Back
Top Bottom