Usiwasemee "watanzania" wasemee machadema menzio.Usiite watu ng'ombe kwani inaonekana ng'ombe anaweza kuwa na akili kuliko wewe. Watanzania sio wajinga kiasi unachofikiri. Umeulizwa uelezee mfano wa hali mbaya ya usalama polisi wanayotumia kuzuia mikutano lakini badala ya kujibu unatukana. YOU ARE GHOST RIDDEN!
Mbn mwenye chama kawaambia mmegraduate kelele za nn sasa nyie NYUMBUPOLICCM Hawakawii kusitisha zuio la mikutano kwa siku zile tu ambazo wafalme wa kudumu wa nchi wakitaka kufanya mkutano. Mikutano yao ikipita zuio linarudishwa.
ccm tutafanya mkutano wetu wa hadhara katika uwanja wa jamuhuri mule ni ndani na tutamtambulisha bila shida. na hapa Dar tutamtambulisha uwanja wa Taifa namo ni ndani kwa hatua hiyo hatutavunja amri ya polisiHivi CCM haitafanya mikutano ya hadhara kutambulisha sekretariati yake mpya na Viongozi wapya?
Je hakutakuwa na mkutano wa hadhara Dodoma kumtambulisha Mkiti mpya mpaka 2020?
Je hakutakuwa na mapokezi Dar ya kumpokea Mkiti mpya mpaka 2020?
MyTake
msimeno unakata pande mbili
Zenu sawa na za nguruweAkili zenu sawa na za Ng'ombe.
Bora kua ng'ombe kuliko kua binadamu mnafiki.Akili zenu sawa na za Ng'ombe.
Yeah! Nguruwe ana akili sana, anatumika kugundua mabomu ardhini, madawa ya kulevya, na vinasaba vyake vinatibu upofu, je ling'ombe! Halina akili, linafugwa ili linenepe lichinjwe liliwe lakini halijijui, likienda malishoni linarudi tena zizini kwa bosi wake likiamini ndo sehemu salama ! Kumbe! ..Zenu sawa na za nguruwe
Akili zenu sawa na za Ng'ombe.
najua imekuingia vizuri. mbona hamkuwafunga Nyerere terminal na KIA kuzuia hayo madawa ya kulevya au! vip hawawezi kuzuia twiga wakipanda air bus😱😳Yeah! Nguruwe ana akili sana, anatumika kugundua mabomu ardhini, madawa ya kulevya, na vinasaba vyake vinatibu upofu, je ling'ombe! Halina akili, linafugwa ili linenepe lichinjwe liliwe lakini halijijui, likienda malishoni linarudi tena zizini kwa bosi wake likiamini ndo sehemu salama ! Kumbe! ..
Rais ataanza ziara ya kuwashukuru wanadodomaHivi CCM haitafanya mikutano ya hadhara kutambulisha sekretariati yake mpya na Viongozi wapya?
Je hakutakuwa na mkutano wa hadhara Dodoma kumtambulisha Mkiti mpya mpaka 2020?
Je hakutakuwa na mapokezi Dar ya kumpokea Mkiti mpya mpaka 2020?
MyTake
msimeno unakata pande mbili
Mikutano itaruhusiwa kwa muda wa Kama mwezi mmoja nadhani!Hivi CCM haitafanya mikutano ya hadhara kutambulisha sekretariati yake mpya na Viongozi wapya?
Je hakutakuwa na mkutano wa hadhara Dodoma kumtambulisha Mkiti mpya mpaka 2020?
Je hakutakuwa na mapokezi Dar ya kumpokea Mkiti mpya mpaka 2020?
MyTake
msimeno unakata pande mbili
Mbn mwenye chama kawaambia mmegraduate kelele za nn sasa nyie NYUMBU
Ulikuwa wa ndani. Intelijensia ya polisi iliuchungulia na kubaini ungeweza kuleta uvunjifu wa amani kutokana na jazba, hamaki na ghadhabu aliyokuwa nayo ZZK baada ya kufurushwa bungeni. Ufundi wake wa kuongea ungeweza kuwapandisha watu mihemko na mizuka. Kitengo cha intelijensia ya polisi si mchezo, ulipigwa STOP.Hivi Mkutano wa ACT WAZALENDO ulikua wa nje au WA ndani
Mkuu ikifatilia utendaji kazi za hawa Polisi Tz,unaweza ukajiuliza maswali yasiyo na majibu daima,hawa ni pasua kichwa mkuuHukusikia taarifa ya policcm kuhusu katazo la mikutano ya hadhara???walisema ilikuwa Na kwamba hali ya usalama sio Nzuri kwa hyo hali ya usalama ikitengamaa mikutano itaruhusiwa...nadhani kqa watu wenye akili walielewa vizuri sana dhumuni la ile taarifa Na kwa nn imetolewa wakati huu..kwa hyo mikutano ya ccm itafanyika na watu wakihoji wataambia hali ya usalama kwa Sasa inaruhusu mikutano ya hadhara kufanyika..
Ila cha kujiuliza...hv siku za hv karibuni hali ya usalama nchini ilikuwa tete mpaka hawa policcm wapige marufuku mikusanyiko??au mm labda siishi Tanzania hii...wakuu ebu nijuzeni...
Yeah! Nguruwe ana akili sana, anatumika kugundua mabomu ardhini, madawa ya kulevya, na vinasaba vyake vinatibu upofu, je ling'ombe! Halina akili, linafugwa ili linenepe lichinjwe liliwe lakini halijijui, likienda malishoni linarudi tena zizini kwa bosi wake likiamini ndo sehemu salama ! Kumbe! ..