Ikiwa Maalim atasimamia kauli yake ya liwalo na liwe.... Basi moto utawaka tu lazima.Wazanzibar awamu hii sijui kama watakubali uhuni wa ccm uliofanywa katika chaguzi zote zilizopita
Hussein mwinyi siyo mzanzibar Bali huku hakuzaliwa wala hakusoma shule wala madrasa na wala hakuna hata MTU mmoja kama aliwahi kucheza nae ktk udogo wake na baba ake alipo kua Rais mwaka 1984- 1985 yani aliteuliwa Dodoma nakuja kukaa tu Zanzibar wala hakupigiwa kura kwahiyo na habari zilizopo shamsi vua nahodha amechukuliwa tangu juzi yuko Dodoma huko anahojiwa kisa anawambia watu wa Zanzibar wasimchague mwinyi kwani mwinyi akichagulia ndio Zanzibar kashaifanya wilayaMaalim akizubaa sasa basi maana uchaguzi ujao atakuwa na miaka 83
DuhhHussein mwinyi siyo mzanzibar Bali huku hakuzaliwa wala hakusoma shule wala madrasa na wala hakuna hata MTU mmoja kama aliwahi kucheza nae ktk udogo wake na baba ake alipo kua Rais mwaka 1984- 1985 yani aliteuliwa Dodoma nakuja kukaa tu Zanzibar wala hakupigiwa kura kwahiyo na habari zilizopo shamsi vua nahodha amechukuliwa tangu juzi yuko Dodoma huko anahojiwa kisa anawambia watu wa Zanzibar wasimchague mwinyi kwani mwinyi akichagulia ndio Zanzibar kashaifanya wilaya
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Ni kweli familia ya kina Mwinyi wanajifanya kuwa wazanzibar kwa sababu za kisiasa tu ila ni wabara waleHussein mwinyi siyo mzanzibar Bali huku hakuzaliwa wala hakusoma shule wala madrasa na wala hakuna hata MTU mmoja kama aliwahi kucheza nae ktk udogo wake na baba ake alipo kua Rais mwaka 1984- 1985 yani aliteuliwa Dodoma nakuja kukaa tu Zanzibar wala hakupigiwa kura kwahiyo na habari zilizopo shamsi vua nahodha amechukuliwa tangu juzi yuko Dodoma huko anahojiwa kisa anawambia watu wa Zanzibar wasimchague mwinyi kwani mwinyi akichagulia ndio Zanzibar kashaifanya wilaya
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Unaweza kunitajia shule aliyosoma mwinyi hapa Zanzibar au ukatuma clip moja tu mwinyi akiwa bungeni kuitetea ZanzibarMnajidanganya