Ccm inaukabila ukitaka kujua jaribu kuangalia kabila lako wewe kama sio msukuma ni wangapi wakuu wa mikoa huo ni mfano mdogo tu so mleta mada ameamua kuwakumbusha tabia yenu.Hiyo ndio tofauti ya ccm na vyama vingine halafu unasema ccm ina ukabila
Katangazwa mshindi.WENJE Saa Nne tu Asubuhi.
Wewe ni muongo Wasimbiti hawawezi kiwa 5% huo ni ukuda wako tu, kama unabisha tuhesabu vijiji vya wajaluo na wasimbitiRorya ni jimbo linalopatikana ndani ya mkoa wa Mara, na wakazi wa hapa ni wajaluo kwa 95% huku wasimbiti na baadhi ya vikabila vidogo vidogo ni 5 tu ya wilaya nzima
Lameck okambo airo(LAKAIRO) ndiye alikuwa mbunge kwenye awamu mbili lakini kwa mwaka huu aliamua kujiondoa kutokana na upepo wa mabadiliko unaovuma kwa sasa,hasa baada ya Ezekiah Dibogo wenje kutangaza nia ya kugombea jimbo la Rorya. Watu wengi walivutiwa sana na ujio wake ata wana ccm walimuona kama mtu anaefaa.
Kwenye kura za maoni za Jana CCM wakamteua kijana kutoka kabila la wasimbiti makusudi kabisa ili kumpatia kura ndugu wenje ambae ni mjaluo mwenzao kuitawala Rorya
Toka jimbo hili kuanzishwa hakuna mtu wa kabila tofauti ashawahi kuwa mbunge lakini Jana CCM wamefanya maamuzi ya juu kabisa tena bila kujua kabisa wanaua chama kwa kuegemeza nguvu zao ili ndugu wenje ashinde jambo litakaloleta mpasuko mkubwa kwa CCM-Rorya
Kwa hali ilivyo sasa sioni nafasi ya CCM tena wilayani Rorya, sababu wananchi wengi wanavutiwa na wenje
Note: Ezekiah Wenje, alikuwa ni mbunge wa Nyamagana 2010-2015
View attachment 1513728
View attachment 1513730
View attachment 1513732
Wajaluo wakabila sana.Bado mnapiga kura kwa kuangalia makabila😀😀
Wasimbiti ni suba hadi kinesi tu.. kote kuliko baki ni wajaluo.Wewe ni muongo Wasimbiti hawawezi kiwa 5% huo ni ukuda wako tu, kama unabisha tuhesabu vijiji vya wajaluo na wasimbiti
Mleta hoja mbona unakuja na agenda za ukabila badala ya sera/dira ya mgombea toka CCM bila kujali kabila lake?Rorya ni jimbo linalopatikana ndani ya mkoa wa Mara, na wakazi wa hapa ni wajaluo kwa 95% huku wasimbiti na baadhi ya vikabila vidogo vidogo ni 5 tu ya wilaya nzima
Lameck okambo airo(LAKAIRO) ndiye alikuwa mbunge kwenye awamu mbili lakini kwa mwaka huu aliamua kujiondoa kutokana na upepo wa mabadiliko unaovuma kwa sasa,hasa baada ya Ezekiah Dibogo wenje kutangaza nia ya kugombea jimbo la Rorya. Watu wengi walivutiwa sana na ujio wake ata wana ccm walimuona kama mtu anaefaa.
Kwenye kura za maoni za Jana CCM wakamteua kijana kutoka kabila la wasimbiti makusudi kabisa ili kumpatia kura ndugu wenje ambae ni mjaluo mwenzao kuitawala Rorya
Toka jimbo hili kuanzishwa hakuna mtu wa kabila tofauti ashawahi kuwa mbunge lakini Jana CCM wamefanya maamuzi ya juu kabisa tena bila kujua kabisa wanaua chama kwa kuegemeza nguvu zao ili ndugu wenje ashinde jambo litakaloleta mpasuko mkubwa kwa CCM-Rorya
Kwa hali ilivyo sasa sioni nafasi ya CCM tena wilayani Rorya, sababu wananchi wengi wanavutiwa na wenje
Note: Ezekiah Wenje, alikuwa ni mbunge wa Nyamagana 2010-2015
View attachment 1513728
View attachment 1513730
View attachment 1513732
Wewe utakuwa mjaluo wa Kenya kwani huko ndiko kuna ukabila. Huku Tanzania hatuna ukabila. Wasukuma wa Mwanza walimchagua Wenje kuwa mbunge wao. CCM haina ukabila, hao waliowachagua kwenye kura za maoni hawakuwachagua kwa kuangalia makabila yao.Kwenye kura za maoni za Jana CCM wakamteua kijana kutoka kabila la wasimbiti makusudi kabisa ili kumpatia kura ndugu wenje ambae ni mjaluo mwenzao kuitawala Rorya
Na jeshi la uhamiaji lifuatilie uraia wa huyu jamaa. Hawa la Sheikh Mponda wanatakiwa kupondwa pondwa kwa kuleta udini na ukabila kwenyeUkabila wenu peleka Kenya aisee, kwanza Mods huyu mtu pigeni ban.