Mi namshukuru Chatanda a.k.a kitanda a.k.a kuwekea godolo a.k.a bhulili! Amefanikisha kwa kiasi kikubwa kukipatia chadema umaarufu Arusha, bila yeye tusingefahamu kama Lema ni mpiganaji.
Anayefikiri amesimama aangalie asianguke. Ipo siku tutaanza kuelewa kwanini chama tawala kubariki ufisadi na kuulinda ni dhambi, duniani na hata mbinguni.
Utafiti wangu unaonyesha kuwa wazazi wake ni walowezi kule Tanga. Maana yake huyu Mary Chatanda ni toto wa walowezi waliokwenda Tanga kufanya manamba ya mkonge miaka ile, asili yao ni Mkoa mpya wa Njombe. Lakini kiburi cha huhu mwanamke si cha kawaida kwa vile kuna kila dalili nyuma yake kuna kigogo anayempa kichwa.
Pia kuna katibu mwenezi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wa wilaya ya Longido ametangaza kujitoa rasmi kutoka CCM na UVCCM na kujiunga na CHADEMA. Source Taarifa ya bahari Star TV saa 2 Usiku
Pia kuna katibu mwenezi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wa wilaya ya Longido ametangaza kujitoa rasmi kutoka CCM na UVCCM na kujiunga na CHADEMA. Source Taarifa ya bahari Star TV saa 2 Usiku