Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Ni nchi chache sana hapa Afrika ambazo zimebahatika kuwa na Chama kama CCM, Chama ambacho bado ni taasisi na siyo mali ya mtu, nchi nyingi zinaingia matatizoni kwa sababu zimekosa Chama kama CCM chama ambacho kinafanya makosa, kinajirudi na kujisahihi kwa manufaa ya nchi kwa ujumla!
Fikiria tu ishu ya akina Lowasa & Co. na ushawishi wa fedha waliokuwa nao ndani ya CCM lkn bado CCM iliweza kuwaambia ndiyo mna nguvu ya fedha lkn hapa kwetu hamna nafasi na ikawa hivyo, Mwanyekiti wa Chama (CCM) anamaliza muda wake na mwingine anaingia na huwo ni utaratibu kuna vikao vya chama ambavyo ndiyo hutoa maamuzi ya kichama ni vyama vichache sana hapa Afrika vyenye utaratibu kama CCM!
Tukija upande wa pili unapokuwa na Chama ambacho siyo taasisi kama vile chadema, CUF au sijui ACT ni ngumu sana kuviamini hivi vyama kuongoza nchi kwani ni mali ya mtu binafsi na jinsi hivi vyama vinavyoendeshwa hakuna anayejua kwa mfano jinsi Lowasa alivyofanywa mgombea uraisi na chadema hili kwa CCM lisingewezekana yaani kwa mfano Mbowe ahame chadema kesho aje CCM na kutaka kupewa nafasi ya kugombea moja kwa moja bila ya kuwa Mwanachama wa CCM hilo haliwezekani!
Hivyo nchi hii itaendelea na kutoka na historia huko mbele itakuja kusema kwamba sababu ya nchi ya TZ kuendelea ni kuwa na Chama madhubuti na cha CCM!