CCM Urambo inapotea kabisa

kuntu2020

Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
7
Reaction score
1
Hakika CCM wilayani Urambo aliondoka nayo hayati Samuel J Sitta, na kilichobaki ni kutapatapa tu, ndo mana unatumika ubabe mwingi kulazimisha matokeo,

Katika mwendelezo wa kampeni za kuwania kiti cha udiwani kata ya Muungano wilaya Urambo, Hali si shwari upande CCM hii imepelekea waanze kutumia njia zao chafu za kulazimisha matokeo, ikiwa ni pamoja na kutumia Jeshi la polisi kutoa vitisho,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…