CCM: Uchaguzi umeisha tuwe wamoja tujenge chama chetu!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Haya yalikua maneno yao wenyewe, sijui imekuaje hivi sasa! Tuseme hawa watu waliendelea kuimba kale kawimbo kimya kimya? Au ni visasi tu!
 
Maneno yanabaki palepale, tunajenga Chama chetu ila lazima tutoe Onyo kali, ili chaguzi zijazo kuondoa wasaliti, bora uhame kuliko kubaki alafu utufanyie mambo ya kipuuzi
 
Maneno yanabaki palepale, tunajenga Chama chetu ila lazima tutoe Onyo kali, ili chaguzi zijazo kuondoa wasaliti, bora uhame kuliko kubaki alafu utufanyie mambo ya kipuuzi
Ccm imeshawekwa mfukoni na hakuna mtu wa kufanya fyyoko
 
Back
Top Bottom