VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Washauri wote nguli na wa idara mbali mbali za kichama tunahitajika Lumumba Dar es Salaam 'kubuni' mbinu mpya za kupambana na changamoto za vyama vya upinzani,wanaharakati na wananchi kwa ujumla.Kuanzia Jumatatu,Lumumba itagubikwa na vikao vya hapa na pale. Tuna mambo mengi jadilifu. Tuna mzigo mkubwa kwasasa. Tumeambiwa Bungeni mambo yameshatulia na sasa turejee Dar es Salaam 'kukilinda' chama kisera na kiutekelezaji. Tutatoka vipi? Kaeni chonjo! VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam(sasa Dodoma)
Mbona wanaye "MSOMI" Dr Benson Bana!?Kama mnataka msaada niiteni kwa ajili ya consultancy...
Nasikia harufu ya unafiki hapa
Hali yenu hivi sasa itakuwa mbaya sana. Maana udini umepigwa marufuku, kesi ya ugaidi imefutwa, mlikuja na hoja za elimu ya Mbowe na Mnyika hakuna aliyewasikiliza. Ukabila tu ndiyo karata yenu ya mwisho kwa sasa; na yenyewe itakapoanza kuleta madhara, mtasimama tena kupiga marufuku.
Mbona wanaye "MSOMI" Dr Benson Bana!?
ivi huna kazi nyingine? Maana saa 24 wewe upo humu,kweli magamba wamekuepusha na ku.tawaza wazee huko
Naona nyingi zake zimebaunsi na zitaendelea kubounce, sidhani kama kuna itakayofanikiwa. Maana kila uzushi wanaoibuka nao, watu wanasymphasize na CHADEMA. Hali yao ni mbaya kiujumla tu.wao wanasema wana mbinu zaidi ya 25 chafu dhidi ya vyama vya upinzani...tena hutamba hadharani...ni ajab
Washauri wote nguli na wa idara mbali mbali za kichama tunahitajika Lumumba Dar es Salaam 'kubuni' mbinu mpya za kupambana na changamoto za vyama vya upinzani, wanaharakati na wananchi kwa ujumla. Kuanzia Jumatatu, Lumumba itagubikwa na vikao vya hapa na pale. Tuna mambo mengi jadilifu. Tuna mzigo mkubwa kwasasa. Tumeambiwa Bungeni mambo yameshatulia na sasa turejee Dar es Salaam 'kukilinda' chama kisera na kiutekelezaji. Tutatoka vipi? Kaeni chonjo! VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam(sasa Dodoma)