CCM tunaomba muungilie kati kero barabara ya Bagamoyo-Msata

mnyoriii

JF-Expert Member
Apr 18, 2020
507
493
Nikiombe chama tawala kitusaidie kuondoa kero zilizoko kwenye barabara ya Bagamoyo to Msata.

Nazungumzia jinsi traffic wanavyobambikiza speed kwa kutumia mashine mbovu na wanapokusimamisha hukutaka uende kwenye kibanda chao ndipo wakuoneshe hiyo speed rader haraka na ukitaka uiangalie kwa makini na upewe ufafanuzi inakula kwako.

Nilikamatwa saa moja na robo jioni na giza lilikuwa limeingia na hawakunionesha ile speed rader na wakataka kitu kidogo au wataniandika nilipe 30000/=.

Nilikubali waniandikie kwani iliniuma saana.

Ni wakati sasa wa kuachana na hizi hand speed raders na kutumia permanent installed ones.
 
Nikiombe chama tawala kitusaidie kuondoa kero zilizoko kwenye barabara ya Bagamoyo to Msata.
Wana miaka 40+ madarakani wameshindwa hata kutengeneza toothpick au vyumba vya madarasa eti Leo ndio unawashtakia??

Hawa wanachoweza ni kuzalisha akina Hamza na akina Sabaya
 
Back
Top Bottom