CCM tulieni basi jamani si mambo yote iko sawa..? makelele ya nini?

TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,090
762
Watafiti si wamekwisha sema mtashinda kwa asilimia nyingi tu, Sasa kwanini kigoda kiwe cha Moto, tulizeni makalio chini tungojee hiyo 25-October Kwani kuna umbali gani?

Mbona makelele mengii, Mara muwaite walimu kuwahadaa, Mara bodaboda hadi mnawafungia ndani na kuwatisha, ya nini yote hayo. Kwa akili Zenu mnaona laki tatu itatosha kumpumbaza mwalimu afanye mtakacho?.. shame..!!!

Mmesha waaminisha washabiki na wapenzi Wenu kwamba mtashinda kwa asilimia kibao basi tulieni. Wapenzi Wenu wanawashangaa bado mnakukuruka. Wameshaanza kuwastukia kwa kasi.

CCM wanakabiliwa na kura za AIBU.. stay right here with me.
 
Back
Top Bottom