CCM TUENDAKO!! MJIFOCUS KWENYE MAENDELEO YA WATU, ACHANENI NA VICHAA NA MAGAIDI-WANATAFUTA ANGLE YA KUTOKEA Naa Joseph #Yona
Nikiwa naandika kwenye magroup tofauti kuwa Tundu #Lissu ni kichaa, vijana wengi tulio mrengo mmoja wakaniambia nitulie, nikawaeleza naomba niendelee na kichaa halafu ninyi msiomjua mtanijoin mbeleni, wakaniona napoteza muda.
Rais #SAMIA akiwa njiani kuelekea Ubelgiji akakubali ombi la kukutana na Mlevi #LISSU aliyepoteza Passport Bar, vijana walewale wakanifuata inbox unaona tulikwambia tulia, nikawaambia mimi ngoja niendelee na kichaa #LISSU na Gaidi #Mbowe mtaungana na mimi mbeleni, wakaniona napoteza.
Bahati nzuri Rais #Samia akafanikiwa kuongea na #LISSU kama Brother and Sister kwa muda wa saa nzima, kabla jogoo hajawika Tundu #Lissu huyoooo #Space, eti haya ndiyo nimeongea na Rais na nimempa masharti haya na haya na afanye hivi na vile, yaani yeye #LISSU ametoa masharti kwa Rais na mwenyekiti wetu wa Chama AISEEE??!!!!, nikiwa natafakari kichaa huyu, vijana walewale walionao sifai wakanifuata inbox tuungane pamoja kupambana na vichaa na magaidi tena wao wakaja na kasi zaidi mpaka na michoro ya magaidi na kunipongeza.
Napenda niwaeleze ukweli, baada ya uchaguzi mkuu 2010 pale Dr #Slaa alivyochachafya na kupata kura nyingi na wabunge, CHADEMA wakajawa kibri, wakaanzisha harakati za kudai wanachokiita katiba mpya, kwa misingi kwamba wao hawahitaji Katiba Mpya ila kwenye mchakato wa katiba mpya waivuruge nchi kwa migomo kila hatua, yaani kila hatua zitengenezwe sanaa za kutokukubaliana na mchakato ili wananchi waone CCM haitaki katiba mpya wajawe na hasira.
Pia kuanzia mwaka 2012 pamoja na mchakato wa vurugu wa katiba mpya, CHADEMA walianzisha mchakato wa kuteka, Kutindikali, kung'oa kucha na meno watu maarufu ambao wanaipinga serikali ili ionekane ni serikali ya CCM ili wananchi wazidi kuichukua, Rais aachane na matapeli yatampotezea muda tuendako, afocus maendeleo ya watu wake ambao ameuanza vema mchakato na kwa kifupi anaupiga Mwingii kwenye maendeleo.