CCM: Taifa limepoteza raia wema na nguvukazi ya kesho.

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
May 14, 2015
5,007
4,080
Ee mwenyezi mungu wape nguvu na ujasiri ndg wa marehemu hawa

Wapumzike kwa amani

By Gilbert Massawe
e9b1cb87543e35028d2260ed27e1e39d.jpg
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa salamu za pole na rambirambi kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya wanafunzi 33 walimu 2 na dereva w gari.

Katika salamu zao kwa familia, wazazi, ndugu na jamaa Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahaman Kinana amesema Taifa limepoteza nguvukazi na raia wema wa baadae.
IMG-20170507-WA0003.jpg
 
Kinana..!!

Pamoja katika maombolezo kutokana na msiba uliokumba taifa
 
Tumezipokea kwa moyo mmoja
Sasa ni wakati wa kuweka mikakati ya kupunguza ajali hizi
 
Sitashangaa kesho waka tinga stadium na sare zao za kijani as if ni mwenge wanaenda kupokea
 
Kesho watajazana hapo na kofia zao za jembe na nyundo tayari kwa kufanya siasa, kisa wametoa rambirambi. Hiki chama ni kichefuchefu kitupu.
 
Wameona ndiyo deal sasa ya kutafuta sifa za kisiasa?
Hiki chama kinatia kichefu chefu
 
Kesho watajazana hapo na kofia zao za jembe na nyundo tayari kwa kufanya siasa, kisa wametoa rambirambi. Hiki chama ni kichefuchefu kitupu.
[quote uid=9296 name="LESIRIAMU" post=21014550]Sitashangaa kesho waka tinga stadium na sare zao za kijani as if ni mwenge wanaenda kupokea[/QUOTE]

UNATABIRI??
Si vyema kutumia msiba kama uwanja wa kufanya SIASA.Tafadhali wanasiasa wa VYAMA VYOTE TUJITAHIDI KUEPUKA
 
Wameona ndiyo deal sasa ya kutafuta sifa za kisiasa?
Hiki chama kinatia kichefu chefu

[quote uid=9296 name="LESIRIAMU" post=21014550]Sitashangaa kesho waka tinga stadium na sare zao za kijani as if ni mwenge wanaenda kupokea[/QUOTE]

Si vyema kutumia msiba kama uwanja wa kufanya SIASA Tafadhali wanasiasa wa VYAMA VYOTE TUJITAHIDI KUEPUKA
 
Back
Top Bottom