CCM taabani dhidi ya nguvu ya umma

Mi naisi kikwete,makinda,ndugai ni chadema ingwa hawajionyeshi
 
Nguvu ya umma wabunge 24 hebu wacheni matani.
ndo maana huwa nawashangaaga eti slaa alishinda urais akiwa na wabunge 20 na kikwete alishingwa akiwa na wabunge zaidi ya 200. umewahi kuona wapi duniani ushindi wa aina hiyo. machizi ni wengi sana tanzania, sema huwezi kuwatambua kwa sababu nao wanavaa na kufanya kazi kama watu wengine.
 
hila zilizo baki kwa ccm ni mbili tu,ya kwanza kuiba kura waziwazi wakati wa uchaguzi,ya pili ni kutumia vitu vyenye ncha kali kwa viongozi wa chadema
 
Mpinzani mmoja ni sawa na magamba thelathini..... hii ni kwa mujibu wa Ndungfai bungeni alipopendekeza usawa wa kuchangia kwamba akichangia mpinzami ,moja basi wafuate maccm matatu ili kuweka uwiano.
 
Rais wa sasa wa Zambia mbona ameshinda kiti cha urais akiwa na wabunge wachache kuliko chama kilicho kuwa kinatawala
 
Mpinzani mmoja ni sawa na magamba thelathini..... hii ni kwa mujibu wa Ndungfai bungeni alipopendekeza usawa wa kuchangia kwamba akichangia mpinzami ,moja basi wafuate maccm matatu ili kuweka uwiano.
 
HII SI NGUVU YA CHADEMA KAMA WENGINE WENYE MAWAZO FINYU wanavyofikiri.HII NI NGUVU YA UMMA WA WATANZANIA AMBAO UMEICHOKA CCM na UFISADI WAKE.
 
Nguvu ya umma wabunge 24 hebu wacheni matani.

wewe fidel Castro aliwah kutoa matamsh haya ya kuwa 'wakati ule tulipofanya mapinduzi tulikuwa 80.lakini sasa nikitaka kufanya mapinduzi nitahitaji watu 8 tu.hao 24 unaowasema hawakuja hivi hivi kuna magamba yalibwagwa chini kama Masha na Dialo. Watch out!
 
Rais wa sasa wa Zambia mbona ameshinda kiti cha urais akiwa na wabunge wachache kuliko chama kilicho kuwa kinatawala
je mkuu ni kwa ratio ya wabunge 20 kwa zaidi ya 200? kwa nini tunapindisha ukweli jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…