TANZANIA LEO
Member
- Jun 21, 2013
- 91
- 10
Umeilalia wewe!mwanaume anapambana siyo anakimbilia nje na kuanza kupiga kelele, ingia ndani pambana kwa hoja usitegemee huruma ya wananchi, wana mambo Mengi na majukumu ya familia zao.
mwanaume anapambana siyo anakimbilia nje na kuanza kupiga kelele, ingia ndani pambana kwa hoja usitegemee huruma ya wananchi, wana mambo Mengi na majukumu ya familia zao.
Unapambana na kichaa ili kiwe nini? Tumemwacha kichaa apone kwanza ndipo ajitambuemwanaume anapambana siyo anakimbilia nje na kuanza kupiga kelele, ingia ndani pambana kwa hoja usitegemee huruma ya wananchi, wana mambo Mengi na majukumu ya familia zao.
Umeilalia wewe!
mapambano?hata mapambano/vita zina kanuni zake za kufuata,ku-retreat ni mbinu ya kimapambano pia!
Unapambana na kichaa ili kiwe nini? Tumemwacha kichaa apone kwanza ndipo ajitambue
Basi endeleeni kupiga kelele nje acheni watu wajadiri jinsi ya kupata katiba mpya, hakuna linaloshindikana.
mwanaume anapambana siyo anakimbilia nje na kuanza kupiga kelele, ingia ndani pambana kwa hoja usitegemee huruma ya wananchi, wana mambo Mengi na majukumu ya familia zao.
Kwani wewe mapambano unayaelewaje? hivyo wanavyo fanya ni mapambano tena makubwa sana kwani sasa watanzania ndio wanapata kujua undani wa ukawa kuamua kujitoa na hakika sasa walio wengi wamejua kuwa TUME YA WARIOBA ILIFANYA KAZI KUBWA TENA YA KIZALENDO SANA.JE, kama UKAWA wasingejitoa tungeyafahamu yote yaliyozungumzwa jana kwa uwazi vile? hayo ndio mapambano.viva ukawa, viva ITV, VIVA WANANCHI, CCM ZIIIIIII!
turieni? angarieni? badara? jamani hata kuandika kwa ufasaha hamuwezi! kiswahili kinaharibiwa sana.Endeleeni kutumika kwa maslahi ya wanasiasa wenye uchu wa madaraka wanaotetea matumbo yao badara ya maslahi ya nchi,
Turieni watu watunge katiba, anagalie ktk TVs, radio na magazeti.