CCM serikali mbovu mno!!

mlevi sugu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,983
Reaction score
3,875
Imefanya nchi kuwa maskini toka tupate uhuru kutoka kwa mkoloni.hadi sasa ni umaskin tuh hatuna cha maana ni upuuzi tuh.

Uganda, Kenya ipo mbele yetu maana wanajipanga.ss Tanzania ni upuuz tu umaskin tuh ndio imejaa taifa hili. CCM ni chama ovyo mno watoke madarakani hawana faida na taifa.
 
Ninahitaji kupata watu tutakao saidiana kuipinduwa serikali ya CCM kuitowa madarakani.hiki chama hakina faida kwa mtanzania ni chama ovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…