CCM sasa wanaisoma namba

Acha waisome namba aaaa....wajinga wale ccm mbele kwa mbele
 
Mkuu walituimbia " tumejipanga mwaka huu mtaisoma ccm ni ile ile oooh ni ile ileee". Sasa wao ndiyo wanaisoma namba na wanajuta
Hamna mwanaCCM wa ukweli anayejuta. Kama kuna mtu anajuta basi jua huyo yupo ktk kundi la wale wezi. CCM yajenga nchi.
 
Jitihada hizo zinge akiasi matatizo ya nchi mfano;upatkanaji dawa ktk mahosptal na zahanati. Ingekuwa vzr sana
 
Mkuu ila aangalie ikifika 2020 itabidi arudi kuwaomba ridhaa! Na ndiyo siku wenye ccm yao watakapoibuka. Na kwenye mng'ang'ande huo ndipo utakuwa mwisho wa CCM kutawala Nchi
 
Hapa tupo sawa
Na mie kwny democracy ndo naona anachemka kwingine tupo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…