mwakyambikig
Member
- Mar 21, 2011
- 92
- 36
ww kama ni kada wa ccm ni vigumu kuelewa contentYaani hapo ndo unajihisi umeandika,,, watoto wa ccm wanakaa chini
kazi tunayo makada mkuuHaina uhusiano na zile pesa za uzimaji wa mwenge hi kweli? Ule wimbo wa "Wataisoma namba" na "ccm mbele kwa mbele" mlidhani unamuhusu Lowassa na Mbowe!?
kasoro kama zipi mkuu?So far kama nchi tumepiga hatua. Kasoro zipo tutazirekebisha mdogo mdogo
Mkuu walituimbia " tumejipanga mwaka huu mtaisoma ccm ni ile ile oooh ni ile ileee". Sasa wao ndiyo wanaisoma namba na wanajutaHaina uhusiano na zile pesa za uzimaji wa mwenge hi kweli? Ule wimbo wa "Wataisoma namba" na "ccm mbele kwa mbele" mlidhani unamuhusu Lowassa na Mbowe!?
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakina lizaboniTatizo ni pale mtu anapojifanya yeye ni ccm damu au kada maarufu wakati yupo huko kwa ajili ya maslahi binafsi. Kama JPM analijua hilo basi aendeleze wimbi la kuwabana hawa ccm maslahi ili watoke wabaki wa ukweli. Na ninaamini wengi tulionao hapa JF ndo hao akina 'tia mchuzi kwangu pakavu'
Lizaboni walikiwa wanajitayarisha kwenda kizima mwenge......imekula KWAO washakosa posho
acha mawazo mgandoMagufuli ni RAIS mzuri sana, Wengi kwa sasa hatutamwelewa, najua wengi mnalalamikia AJIRA, siku serikali ikitangaza kuachia ajira zake na nyongeza ya mshahara na kupandishwa madaraja nadhani mtaanza kubadili gia angani dhidi yake.
Mimi ni UKAWA lakini napendezwa sana na anayofanya Mh. Rais, ukiachilia mbali swala la DEMOKRASIA TU ndo ame-prove failure...
Mengine yote ni mazuri na yananifurahisha na naunga mkono...
Maswala ya Lugumi, IPTL nk. tumpe muda, kwa sababu ni mambo yanayohitaji consultation ya watu mbalimbali hasa wataalamu wake, kumshauri na kuangalia impact yake kwa nchi kwanza kabla hajachukua hatua kali.
Tumpe muda na nafasi Mh. Rais.
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lizaboni walikiwa wanajitayarisha kwenda kizima mwenge......imekula KWAO washakosa posho
Ova
[emoji3] [emoji81]Isipokuwa jipu maarufu la Lugumi tu ndo limekaa kwenye nyetiiii!
WANALIALIA TU SAHIVI[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]