William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Well said mkuu. Ila hilo suala la reconciliation and accomodation linafaa kuchukuliwa kwa umakini mkubwa. Mbona Lipumba alikuwa accomodated lakini kwa ujinga wake ameamua kujitoa? Hawa wapinzani hawana nia njema na nchi hii. Hawa wapinzani hawana dhamira wala utashi wa kuwa na Katiba Mpya. CCM go go goooooooo. Wao wakisusa, nyie songeni mbele. Ru,ewapa ridhaa ya kuongoza na kutawala kila mchakato. Wao wakisusa, nyie fanyeni hima kusonga mbele. Wamepigwa wamepigika. Sasa wanatapatapa tu. hawajui pa kutokea
- Well, reading the mood ya Bunge la Katiba toka siku Rais alipohutubia tayari ukweli unajisema wazi kwamba the TRUTH has settled in na the bottomline ni juzi Wabunge 440 walipojitokeza na kuunga mkono kwa nguvu kubwa sana Hotuba ya Rais. The fact kwamba kati ya Wabunge hao 440, 135 ni kutoka kwenye Wajumbe walioteuliwa na Rais ambao sio Wabunge wa Bunge la jamhuri ni ukweli usiopigika kwamba Hoja ya Serikali 2 inazungumzika kuliko hoja ya zingine zote na uchaguzi wa jana kwenye kamati za bunge yanazidi kujisema wazi kwamba CCM yenye namba kubwa ya Wabunge bungeni kwa mujibu wa Sheria, ndio yenye nafasi kubwa ya kuandika Sheria kama Sheria inavyosema yaani 2/3 ya Wabunge wengi.
- HOWEVER:-
It is a high time now CCM, wakakaa chini na kuanza siasa za accomodations na compromise in some areas lakini sio zote, pia huu ni wakati muafaka CCM ikayafanyia kazi mapungufu yote yaliyotajwa kuhusiana na Muungano wa sasa, ni muhimu sana CCM ikawatumia hao hao walalamikaji wakubwa kuhusu kero za Muungano wa sasa juu ya ushauri wa namna ya kuyatatua. Kuna hoja nzito sana zimesemwa na wasiotaka Muungano wa sasa na nyingi sio siri zipo valid, sasa zikumbatiwe na kufanyiwa kazi katika kuweka Tanzania kwanza. CCM iendelee kusimamia hoja zake ambazo ni basic yaani the core of its values ambazo zinafahamika sana ikiwa ni pamoja na Serikali 2.
- CCM ndio chama tawala kwa uamuzi wa wananchi wa Tanzania, na sheria ipo wazi kwamba ndio wenye the uppperhand ya maamuzi magumu na pia kusimamia sera zake, wanaodai otherwise wajifunze maana ya kushinda uchaguzi na kuwa wengi bungeni ni pamoja na kuwa na nafasi kubwa ya kuamua Sheria mpya, sio makosa ya CCM ni sheria tulizojiwekea wenyewe!!
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!
Le Mutuz
Mkuu bado hajawa wazi na hoja yako. Funguka zaidi

Kama walivyokimbia Chadema baada ya matokeo ya KalengaCcm dhambi haitawaacha ni muda tu mtakimbilia vichakan

- well una mawazo mazuri, infact hii katiba ipo mikonon mwa ccm.
Naamini ipo kwenye mikono salama.
serious talk na wadau, Kama sio Zitto kuchange th subject
Le Mutuz,- Hoja yangu ipo very clear kwamba vita vya Serikali 2 na 3 vimekwisha, sasa ni wakati wa CCM kukaa chini na kutafakari hoja za upande wa pili yaani za Serikali 3, nia na madhumuni yao ni nini hasa na ni kwa sababu gani wamefikia hayo maamuzi kwa sababu siri wanaolilia Serikali 3 wana kero zao nzito sana kumbuka at the heart ya kilio chao ni kuvunja Muungano, sasa unapoona Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa CCM anasimama jukwaani na kuanza kulilia kuvunja Muungano, tenba sio kwa siri bali wazi wazi na hata mbele ya bunge la jamhuri lazima kuna tatizo mahali sasa ni wakati wa CCM kukaa chini na kusikiliza baadhi ya hoja zake maana na yeye kuna anao wawakilisha na hizo hoja zake za kutaka kuvunja Muungano.
- CCM ni chama kikubwa sana na kimepitia mengi sana kufikia kilipo, sasa ni wakati wa kumuomba huyo huyo Waziri Mkuu Mstaafu wa CCM Warioba kuongoza kamati ya utafiti wa mapungufu ya Muungano na kuyafanyia kazi mara moja. Lakini CCM kwanza ikubali kwamba yapo mapungufu na iyaseme wazi kwa public and then ndio waanze kuyafanyia kazi.