Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 536
Lazima lichama la majiz ling'oke
Mbona CCM Safari Hii Inang'oka Mapema asubuhi.
Kwa Utaratibu Wa Kubandika Matokeo Kwenye Vituo Vya Kupiga Kura basi Ushindi Wa Lowassa tarehe 26/10/2015..Hauna Shaka.
Tutajumlisha wenyewe Hata kabla ya time Kumtangaza Lowassa tayari tutakuwa tupo Kwenye Sherehe ya ushindi Mnono.
Tuliza Boli CCM Safari Hii Hawachomoki.
Ila kama nakumbuka mwaka 2005 matokeo ya Urais yalibandikwa vituoni,kwa elfu 2010 sijui kwani sikupiga kura..ila ingekuwa busara zaidi pia matokeo yangebandikwa kwenye halmashauri na kisha mkoani na kazi ya tume iwe kujumlisha matokeo kwa kila mkoa na si vinginevyo...ILA HAPO KWENYE KUBANDIKWA MATOKEO WILAYANI ITAKUWEPO AU NI VITUONI TU?
Ukweli ni kwamba iwapo watz wataacha unafiki wataanza kuona unono wa taifa hili adhimu. Leo Tanga ilikuwa inatisha mpaka ikabidhi kuahirisha mkutano kwa ajili ya idadi ya watu...hawa wote wanaojitokeza kwenye mikutano wangekuwa wamejiandikisha na kisha siku ya kura wakaenda kupiga kura, saa 4 asubuhi tutakuwa tumemaliza kazi ili ttuingie nchi ya neema