Lendapa
slp 276
Arusha.
6.2.2014
Nguvu ya uma tz
slp 1
jamii forum.
Ndg;
yah; uonevu wa polis na ccm
wana jf,rejea kichwa cha habar hapo juu.najitokeza kueleza kero yangu na hasa kuwashitaki polis,ccm na baadhi ya vyombo vya habar kama magazet na redio.
Nawaandikia niny nguv ya uma kupitia jf,kuwa katk vurug zinazoendelea katka kata 27 za kampen ya uchaguz,watz hasa chadema,wamekuwa wakipigwa mapanga,lakin polis na vyombo vya habar vikapiga kimya.
Waheshimiwa nguvu ya uma,haya yametokea Arusha,watu wamepigwa mapanga,wahalif wa ccm wakatajwa lakin polis wakawalinda badala ya kuwakamata...
Ccm wamekuwa wakijua na kushiriki kwa hili,kwan kwenye mktn wao wa ufunguz arusha,walisema watashinda hata kwa kuua,kwenda kwa waganga au kununua shahada.
Kule bunda kata ya nyasura,katb wa ccm aliwaleta askar wa jkt kama 30 hiv kuwapiga na kujeruh watu ili waonekane ni chadema, si polis,wala vyombo vya habar vilivyokemea hilo.
Cha kushangaza,et kule kahama,polis wamepiga watu,lakin vyombo vya habar vikarpot tena kwa kuwataja chadema kuwa ndo wahusika.
Polis hajawakamata waliofanya hivo zaid ya kumkamata mb wa chadema na kumhoji..
Polis hamko fare na haki ya Mungu nawashtak kwa nguvu ya uma.kote ccm wanakopiga watu ni dalili kuwa watashindwa uchaguzi.
Ndg nguv ya uma,hiv inaingia akilin,wavamiz wapasue gar vioo,wawapige watu mapanga,polis mpo wapii? Kazi yenu ni nin nin?
Halaf mbn haya mapanga yamewapata tu raia wetu kichwa na mikono? Hv ukatwe panga la kichwa jana,halaf leo ukasimama na kuongea? Mbona si nesi,wala daktar anaeonekana akiwatibu hao watu? Iweje vyombo vya habar vipige picha wagonjwa bila docta kuwa hapo?
Sasa tumechoka,nasema tumechoka,' polis na ccm lenu moja,nasema fanyen hiv lakin cku ipo ambapo nguv ya uma haitavumilia tena,..
Naishia hapa,ila wana nguvu ya uma je hii ni haki?
Wenu katka mapambano,
lendapa