MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Kazi mojawapo na muhimu kwenye vikundi vya ulinzi ndani ya taasisi za vyama vya siasa ni kulinda viongozi wa chama na mali kwa ujumla.
Haya matukio yanaibua hisia kali sana kwenye jamii, hayavumiliki kabisa sio ya kupuuzia hata kidogo. Kuna kila sababu ya CCM kupeleka Green guards wao kulinda viongozi wao na mali kule wilayani kibi na Rufiji, wakati huo huo polisi wakiendelea na operations mbali mbali kuwasaka wahalifu katika maeneo mbalimbali.
Viongozi wa CCM lifikirieni na hili msikae tu kimya kufuatia matukio kama haya.