at that time fear subjectiowas the only considered reason for ur backing upzamani wakati wa vita ulikuwa ukirudi nyuma (retreat) basi unapigwa risasi.
Hii ilikuja kuachwa siku mrusi mmoja aliamuru askari warudi nyuma na alipoulizwa kwenye mahakama ya kijeshi akawajibu "sikuwa narudi nyuma ila nilikuwa nikipigana aina ya vita iitwayo .......(nimesahau)......"
ila siku hizi inafundishwa sana kuanzia kwenye mpira hadi vitani kwenyewe. Ukiona mbele hakuendeki, basi unapiga tu kelele "cover me" na unarudi nyuma na hapo unapiga goti na kuanza kumsaidia mwenzio. Kidogo kidogo mnarudi nyuma na kujiunda upya tayari kwa mashambulizi mengine...... (kikao cha saa moja cha wapiganaji jana hapo dodoma).
Hivyo mkuu, hii inaruhusiwa sana na kuna shule yake nzito sana inafundishwa.
Zamani wakati wa vita ulikuwa ukirudi nyuma (retreat) basi unapigwa risasi.
Hii ilikuja kuachwa siku Mrusi mmoja aliamuru Askari warudi nyuma na alipoulizwa kwenye mahakama ya kijeshi akawajibu "sikuwa narudi nyuma ila nilikuwa nikipigana aina ya vita iitwayo .......(nimesahau)......"
Ila siku hizi inafundishwa sana kuanzia kwenye Mpira hadi vitani kwenyewe. Ukiona mbele hakuendeki, basi unapiga tu kelele "Cover me" na unarudi nyuma na hapo unapiga goti na kuanza kumsaidia mwenzio. Kidogo kidogo mnarudi nyuma na kujiunda upya tayari kwa mashambulizi mengine...... (kikao cha saa moja cha Wapiganaji jana hapo Dodoma).
Hivyo Mkuu, hii inaruhusiwa sana na kuna shule yake nzito sana inafundishwa.
weka substances zinazofanana na kichwa cha habari sio unaweka herufi tu na spaces between....CCM Oyeeeeeeeee!!!!!!!!!!!! Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji!!!!!!!! Maji ya moto hayaunguzi nyumba!!!!!!!!!!!! Kelele za mpangaji hazimnyimi usingizi mwenye nyumba. Subirini hadi 2015 labda ndiyo yatatokea mabadiliko. Sasa hivi mlie tu.
MPO WASHIKAJI ??????? Hata mkinuna haisaidii. Bye.
kwakweli hali ya CCM inatia huzuni kwa watanzania wenye upendo na nchi yaoZamani wakati wa vita ulikuwa ukirudi nyuma (retreat) basi unapigwa risasi.