CCM OYE

ALEVAMI

Member
Joined
May 17, 2026
Posts
47
Reaction score
23
WOTE TUTAMBUE JUKUMU LA MAMA SAMIA SIO KUTUPA WANANCHI FURSA,MAMBO MENGI HAYAFAI YAMETOKANA NA UTEGEMEZI HUU, JUKUMU LA MAMA SAMIA NI KUSIMAMIA SERIKALI NA UTENDAJI WAKE ,KUFANYA MIUNDO MBINU YA KIMAENDELEO YA TANZANIA NA KUANGALIA MASLAHI YAKE BINAFSI KAMA BINADAMU MWINGINE.TUACHE KUTAKA FURSA KUTOKA KWA MAMA,YEYE SIO MUNGU MTOA RIZIKI.CHA KUFANYA WANANCHI TUWE WABUNIFU KUPITIA ELIMU ZETU ZIWE ZA MTAANI AU DARASANI,NDIYO FURSA ZENYEWE,AJIRA ZENYEWE NA MAENDELEO NA TUNAPOKUTANA NA CHANGAMIOTO HAZILETI MAMA SAMIA WEWE KAA SAWA NA MUNGU,PANDA MBEGU UVUNE MATOKEO YAKE ILI AKUPE MSAADA NA RIZIKI,HATA MAMA SAMIA ANAKUTANA NA CHANGAMIOTO KWA SABABU NA YEYE NI KIUMBE CHA MUNGU.NDIYO KINACHOENDELEA KWENYE NCHI AMBAZO ZIMEENDELEA...@You
 
Comrade unatumia simu gani? Au ndiyo yale mambo yetu ya elimu ya hapa 👇 na pale 👉
 
Mtu akiniandikia hata sms kwa herufi kubwa siisomi, nampigia direct kama kuna huo umuhimu!

Naona kama ananifokea
 
Ccm hoi,hohehahe hoiii!
 
Aisee .Kwani siku hizi mnatumia desktop Lumumba badala ya simu.
 
Ndio watetezi wa ccm kwenye jamii ilio upeo mkubwa!
Ccm wanadhani watanzania wengi wapo kama wahadzabe! Kumbe kulisha pambazuka mapema sana.
 
Jukumu la serikali yoyote inayokusanya Kodi ni kuleta fursa kwa rai wake
 
well done gentleman,

kidumu Chama Cha Mapinduzi 🔥
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…