CCM ni Ngangari

huu ndio ubaguzi wa ccm ni kuwanyang'anya watu haki zao. kwa nini sumbawanga tu kama ccm ni ya wote kama wanavyojigamba. au wa maeneo mengine ni vilaza tu
 
safi sana ndizo zitakazo tumika kwenye msafara wa raisi aliyoko kwenye mioyo ya watanzania.
 

Mkuu Kibanga, Mikopo hiyo ya pikipiki inawezekana kulipwa kama waliotoa watatoa pia elimu ya kutokunywa Kimpumu (pombe ya kienyeji inayotengezwa kwa ulezi ambayo ni maarufu sana Sumbawanga) na viroba vya pombe kali.
 
Nsikitika vijana tunapokuwa na ufinyu wa kufikiria,kwangu mm nalianganisha na upeo mdogo wa kufikiri kwa vijana tuliopata nafas ya kwenda shule' jambo zuri bas tulikubali na tulifanyie kaz kaz sio kuponda tu eti kisa aliefanya hilo ni mwana ccm' tunafuata utekelezaji wa ilani ya ccm
 
Machadema yananuna kuona vijana wanawezeshwa kiuchumi

Hahaha hahaha kuwezeshwa kwa bodaboda!!? Mikokoteni, afadhali hata wangetoa mikopo hiyo vijana waende shule...ccm hawataki vijana wapate elimu maana watafunguka akili na kujielewa kuwa wanahitajo viongozi na sio watawala.sasa ccm wanatawala na hawaongozi....vijana henlbu amkeni....kumbukeni kula ccm, na kura chadema.
 

washafungwa hawa vijana tayari!!!!chezea miga.mba weye
 

ukisoma mukutaza wa hii habari lengo lenu siyo kusaidia bali ni kuwahada vijana ili wawape kura then mwatelekeze.bahati mbaya zaidi kulingana na ubovu wa barabara zenu lifespan ya hizo pikipiki ni 1year.
 
CHADEMA wakisikia hivi roho zao zinawauma sana. CHADEMA wanapenda kusikia meli imezama, ghorofa limeanguka, kanisa limelipuliwa na mambo kama hayo.

Shame on you CHADEMA. CCM inazidi kusonga mbele nyie endeleeni kusubiri matukio ili mpate la kuongea.

INAWAUMA SANA TUNAPO KULA PESA ZENU BILA KUWAPA KURA?.Na bado 2015 tunakula nusu ya treasure yote ya CCM ili muondoke madaraka tukiwa 50% kwa 50%.Na malengo yetu ni kwamba nyie muondoke madarakani mkiwa na 25% ile 75% iwe tumesha ipukutisha kabisa kabla ya Tarehe 25 / 10 / 2015.NAWATAKIA WATANZANIA WOTE ULAJI MWEMA WA PESA YETU ILYOKUWA IMEIBIWA MIAKA 50 ILIYOPITA.CCM wameanza kuturejeshea taratibu pesa yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…