Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Mnajifanya wajanja lkn CCM kwa Siasa ni namba moja Afrika, sasa subirini muone moto wake, kuna tetemeko kubwa sana linakuja chadema na muda siyo mrefu chadema watakuwa irrelevant TZ hili Bunge nawaambia haliwaachi salama, lkn lawama zote mnapaswa mpelekee Mbowe, Lisu &Co. kwa kuuwa Chama na kupoteza nguvu zenu zote mlizowekeza miaka yote hiyo nafikiri ni karibia 20, jiulizeni kwa nini Ole Madeye ahame labda kuhama siyo ishu sana lkn kwa nini UDP , mnatukana Spika wa Bunge la JMTZ? salaleee, hamponi ...
CCM ni Chama Dola!