It is now well understood!!!Sijui kama kuna watu makini wanajua au wameshajua athari za kuandika CDM badala ya CHADEMA vs CCM. Nimeshtuka sana kuona wapiganaji makini kama molemo na wengine hapa akina fmpiganaji na wengine kibao, wengine hata wameanza kuandika makala kwenye mainstream media, kwa kutumia abbreviation hiyo ya CDM! Hivinkuna chama hicho Tanzania?
Nawaombeni watu makini wote tutumie abbreviation sahihi, CHADEMA. So superb. Nawatakia uwasilishaji mwema wa hoja na mijadala.
Kuna maeneo makubwa 3 au zaidi ambayo CCM ikidhibitiwa ndio mwisho wenu:-Matokeo yake kila uchaguzi CDM inagaragazwa vibaya!!
Sijui kama kuna watu makini wanajua au wameshajua athari za kuandika CDM badala ya CHADEMA vs CCM. Nimeshtuka sana kuona wapiganaji makini kama molemo na wengine hapa akina fmpiganaji na wengine kibao, wengine hata wameanza kuandika makala kwenye mainstream media, kwa kutumia abbreviation hiyo ya CDM! Hivinkuna chama hicho Tanzania?
Nawaombeni watu makini wote tutumie abbreviation sahihi, CHADEMA. So superb. Nawatakia uwasilishaji mwema wa hoja na mijadala.
Ndio, Ukilinganisha picha za mkutano wa CCM Arusha mjini na zile za Karagwe. Utasema hivi CCM is dead indeed. Nashauri CCM wajipange kuwa wapinzani, na wasipofanya hivyo, watatoweka kama UNIP na KANU.
Ni kweli kabisa mkuu Kama Shubash Patel Rostam Azizi , 'mbunge wa singida mjini Abood na Manji wote hao wapo ChademaSio ajabu kwani hata CDM wanandoa na majambazi ya kihindi wanaodhulumu jasho,uchumi,utu wa mtanzania.
ulitaka akae ukweni Ngorongoro Kama jangili kinana?umejuaje? Kule yuko ukweni anamtengenezea mazingira josephine na yeye kutafuta kukubalika ukweni
Nikweli kabisa Kumbe JK ambaye rafiki yake mkubwa ni Cameroon wa Uk siku hizi yupo chadema? Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh!acha kejeli wewe unadhani kwa kuwa nyie mmeungana na mashoga wa ujerumani na uingereza basi ni kila mtu? Acha uchochezi
Matokeo yake kila uchaguzi CDM inagaragazwa vibaya!!
Mtahangaika Sana, Jana Arusha niliona CCM hadi wanaenda kuchukua Wafanyakazi wa Kiwanda cha A to Z na nilipo muuliza mmoja wa wafanyakazi waliokuja na mabasi ya kiwanda alinijubu wao wamerazimishwa na malipo yao pekee ni kuto ingia night kwa siku moja,
Kiwanda Cha A to Z ndo kinaongoza kwa Kunyanyasa wafanyakazi Tanzznia, na sasa ndo nimejua ni kwa nini wale wahindi ni CCM damu damu
Sijui kama kuna watu makini wanajua au wameshajua athari za kuandika CDM badala ya CHADEMA vs CCM. Nimeshtuka sana kuona wapiganaji makini kama molemo na wengine hapa akina fmpiganaji na wengine kibao, wengine hata wameanza kuandika makala kwenye mainstream media, kwa kutumia abbreviation hiyo ya CDM! Hivinkuna chama hicho Tanzania?
Nawaombeni watu makini wote tutumie abbreviation sahihi, CHADEMA. So superb. Nawatakia uwasilishaji mwema wa hoja na mijadala.
Mzee tangaza sera acha kuhangaika na kinana humuwezi,atakupiga tu penda usipende
Mungu amejibu sala zetu za kutupatia Tanzania mpya. Mungu ibariki afrika mungu ibariki cdmNdio, Ukilinganisha picha za mkutano wa CCM Arusha mjini na zile za Karagwe. Utasema hivi CCM is dead indeed. Nashauri CCM wajipange kuwa wapinzani, na wasipofanya hivyo, watatoweka kama UNIP na KANU.
Hawa jamaa ukitaka kujua ni wasanii, Jana Huku Arusha walimsimaisha Agrey wa Tamisemi, akaanza kutoka Povu kama kawaida kwa kusema waote wanao kula pesa za Serikali watashughulikiwa, Wakati hapo hapo uwanjani alikuwepo Meya na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha walio Fisadi pesa za Ufunguzi wa Jiji la Arusha,
So hawa jamaa wao kwa sasa ni mikwara tu, Kinana anapiga mikwara Mawaziri wakati yuko nao kwenye ziara zake, huko ni kuhadaa watanzania,
Nae waziri wa Viwanda anasimama na kuanza kuhubiri kufufu kiwanda cha General Tyre, bila kueleza wanachi hicho kiwanda kilikufa vipi na walio kiua wamechukuliwa hatua gani mapka sasa,
Mwambieni padri akibatize chama na kuja na jina jipya.Angalizo limeeleweka ila tafuteni kifupi cha CHADEMA kama haiwezekani basi, pana malalamiko juu ya vifaa vya chama hasa maeneo ambayo mlifanya mikutano ya M4C(mfano Rufiji, Lindi, Mtwara etc). Licha ya juhudi kubwa zitumikazo kuwaelimisha wananchi juu ya mstakabali wa nchi yao, lakini suala vifaa vya chama lipewe nguvu zaidi.
Matokeo yake kila uchaguzi CDM inagaragazwa vibaya!!
Kwa utaalamu wa wizi wa kura!
Weka Tembo Mbali!
Mwambieni padri akibatize chama na kuja na jina jipya.
Huyu babu anajifariji anaujua fika mziki wa gamba, itakuwa aibu kwa maneno haya halafu CDM ije kuangushwa na chama mahututi kwenye chaguzi mbalimbali zijazo.