Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,969
- 51,130
Hayo ni mawazo yako CCM pekee ndio mahali ilipo Demokrasia ya kweli mbona huko Kwenye Saccos huwa hamhoji?Sisemi watu wote CCM ni waoga bali wengi wao tena wako wengi hasa ni watu waoga!! Tangu Enzi chama hicho kinaundwa, uundwaji wake ulifanyika kwa maamuzi ya watu wachache (Aboud Jumbe na Nyerere) wanachama wa TANU na ASP walihusishwa baadaye na hasa baada ya makubaliano ya kuhakikisha kwamba neno "Mapinduzi" litakuwemo kwenye jina la chama kipya CCM. Waliokuwepo walikuwa waoga hawakuhoji na wakapandikiza roho ya hofu kwenye chama chao ambayo ipo mpaka leo.
Kwenye CCM viongozi wana "akili nyingi" sana na hawatakiwi kuhojiwa na wanaojaribu kuhoji ni lazima washikishwe adabu. Utaona mtu yule yule ambaye alikuwa anakosolewa kabla ya kuwa na cheo, akipata madaraka inakuwa ni mwiko kukosolewa. Kwenye CCM mambo yanayotokea kwenye vyama vya upinzani hayawezi kutokea ndani ya chama hicho kwa kuwa kimejaa watu waoga!!
Kinachotokea CUF kwa Katibu Mkuu na Mwanachama wao aliyefukuzwa Ibrahimu Lipumba kulumbana hadharani hakiwezi kuvumiliwa ndani ya CCM na mara zote anayeadhibiwa ni yule mwenye cheo kidogo kuliko mwenzake! Tatizo siyo adhabu bali mara zote adhabu zenyewe huwa za kiuonezi na hakuna anayethubu kusema kwama ni uonevu.
Yale ya Jakaya Kikwete kuja na Majina ya wateule wake kwenye kikao cha uteuzi wa Mgombea urais kupitia chama hicho, isingewezekana kwenye vyama vya upinzani, lazima angepingwa kwenye kikao na nje ya kikao na wanachama wenzake. Woga wa wananchama wa CCM umesababisha ionekane kwamba viongozi wa CCM wana akili kuliko wanachama wake wa kawaida.
Wakati Humphrey Polepole akitangaza kwamba Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa "kauli moja" imeunga mkono mapendekezo yote ya Kamati Kuu ya chama hicho, nikajiuliza hicho kikao cha Halmashauri Kuu hakikuwa na wajumbe wenye mawazo tofauti na yale ya Kamati Kuu? Lakini kumbe waliokuwa na mawazo tofauti tayari walikuwa wameshashughulikiwa!!
Hiki chama kilichojaa watu waoga kwa bahati mbaya ndicho kinachoongoza serikali ya nchi yetu, bila shaka na chenyewe kitataka kujenga hofu kwa watanzania wote na wao wakiogope. Hofu ina tabia ya kuambukiza na wanaotaka watu wawe na hofu hulazimisha hofu kutamalaki pale sauti za kuwapinga zinapoongezeka!!
Tatizo la ccm ni kuwa mtaji mkubwa wa ccm ni ujinga na umasikini uliopitilzaSisemi watu wote CCM ni waoga bali wengi wao tena wako wengi hasa ni watu waoga!! Tangu Enzi chama hicho kinaundwa, uundwaji wake ulifanyika kwa maamuzi ya watu wachache (Aboud Jumbe na Nyerere) wanachama wa TANU na ASP walihusishwa baadaye na hasa baada ya makubaliano ya kuhakikisha kwamba neno "Mapinduzi" litakuwemo kwenye jina la chama kipya CCM. Waliokuwepo walikuwa waoga hawakuhoji na wakapandikiza roho ya hofu kwenye chama chao ambayo ipo mpaka leo.
Kwenye CCM viongozi wana "akili nyingi" sana na hawatakiwi kuhojiwa na wanaojaribu kuhoji ni lazima washikishwe adabu. Utaona mtu yule yule ambaye alikuwa anakosolewa kabla ya kuwa na cheo, akipata madaraka inakuwa ni mwiko kukosolewa. Kwenye CCM mambo yanayotokea kwenye vyama vya upinzani hayawezi kutokea ndani ya chama hicho kwa kuwa kimejaa watu waoga!!
Kinachotokea CUF kwa Katibu Mkuu na Mwanachama wao aliyefukuzwa Ibrahimu Lipumba kulumbana hadharani hakiwezi kuvumiliwa ndani ya CCM na mara zote anayeadhibiwa ni yule mwenye cheo kidogo kuliko mwenzake! Tatizo siyo adhabu bali mara zote adhabu zenyewe huwa za kiuonezi na hakuna anayethubu kusema kwama ni uonevu.
Yale ya Jakaya Kikwete kuja na Majina ya wateule wake kwenye kikao cha uteuzi wa Mgombea urais kupitia chama hicho, isingewezekana kwenye vyama vya upinzani, lazima angepingwa kwenye kikao na nje ya kikao na wanachama wenzake. Woga wa wananchama wa CCM umesababisha ionekane kwamba viongozi wa CCM wana akili kuliko wanachama wake wa kawaida.
Wakati Humphrey Polepole akitangaza kwamba Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa "kauli moja" imeunga mkono mapendekezo yote ya Kamati Kuu ya chama hicho, nikajiuliza hicho kikao cha Halmashauri Kuu hakikuwa na wajumbe wenye mawazo tofauti na yale ya Kamati Kuu? Lakini kumbe waliokuwa na mawazo tofauti tayari walikuwa wameshashughulikiwa!!
Hiki chama kilichojaa watu waoga kwa bahati mbaya ndicho kinachoongoza serikali ya nchi yetu, bila shaka na chenyewe kitataka kujenga hofu kwa watanzania wote na wao wakiogope. Hofu ina tabia ya kuambukiza na wanaotaka watu wawe na hofu hulazimisha hofu kutamalaki pale sauti za kuwapinga zinapoongezeka!!
Mtaji wa ccm ni ujinga wa wanachama wakemkuu tukiitumia thread yako kama kipimo cha CDM, kule angebaki chacha wangwe tu kama angekuwa bado hai.
Mwenyekiti mkwepa kodi--->wafuasi wanasifu na kuabudu
Mwenyekiti kashfa za madawa ---> Bila kuchunguza na kutafakari wote wanatusi na kukejeli kila anayemzonga
Mwenyekiti anateua wagombea wa CCM -->kimya kinatanda,
Wanachadema wanataka mwenyekiti wao wa kanda wanaletewa wa mwenyekiti mkuu-- > aibu inawashika na kutafuta mada za kudandia wajisahaulishe machungu
Mwenyekiti anawaletea lws --->wanaanza leheso ya kumsifia na kukana kauli zao
mkuu tukichukua lenzi tukaipima chadema kwa bandiko lako utagundua ni WASTE ya CCM au chama cha watu waliokata tamaa na kupoteza matumaini
Kuna uwezekano mkubwa ukakalia hizo liwaya na pambio hilo hadi unazeeka.Mtaji wa ccm ni ujinga wa wanachama wake
Kuna uwezekano mkubwa ukakalia hizo liwaya na pambio hilo hadi unazeeka.
Rudini ufipa mjitathmini, sio kukosoa kile ambacho kwenu ndio STANDARD OPERATING PROCEDURES
hiyo nimekupa changamoto, unatoa majibu ya gizani. wangekuwepo asingekuwa mwenyekiti hadi leo kwa sababu nyingi tu.mitale na midimu andika ueleweke. Mbowe kwa chochote anachofanya anapingwa na kuna watu huwa wanamwambia uso kwa uso kwamba anakosea. Kwenye CCM inawezekana kumwambia Mwenyekiti wa taifa kakosea?
naona umeishiwa mawazo umeanza kukopa maoni ya watunga vibonzo.
Ujumbe umeupokea vizuri sananaona umeishiwa mawazo umeanza kukopa maoni ya watunga vibonzo.
Fikirisha akili mkuu, utoe mawazo yako, hizo picha ni ishara ya uvivu wa kutafakari mambo sahihi
Hivi unafikiri kwa kutumia NINI??????.......hiyo statement ndogo tu niliyo QUOTE irudishe kwa MBOWE then wakumbuke wafuatao.....CHACHA WANGWE what happened to him......ZITTO KABWE na WENGNE wengi........Kwenye CCM viongozi wana "akili nyingi" sana na hawatakiwi kuhojiwa na wanaojaribu kuhoji ni lazima washikishwe adabu
Hivi mbowe alifanya NINI 2015 juu ya LOWASSA?????alifanya nogotiation nje yeye na LOWASSA ndio akaja na JINA LAKE MFUKONI kwenye VIKAO vya CHAMA na kutumia nguvu nyingi KULIPITISHA hili na NDIO maana Dr SLAA alijiondoa SASA sijui unaangalia vidole vyako vingne vinajirud upande upi.....Yale ya Jakaya Kikwete kuja na Majina ya wateule wake kwenye kikao cha uteuzi wa Mgombea urais kupitia chama hicho, isingewezekana kwenye vyama vya upinzani, lazima angepingwa kwenye kikao na nje ya kikao na wanachama wenzake.
Kwa ivo Mbowe kutokuwa Mwenyekiti ndiyo kipimo kwamba wapo wanaompinga ndani ya CHADEMA? kwanza Mbowe hugombea na wengine Mwenyekiti wa CCM huguombea na nani?wangekuwepo asingekuwa mwenyekiti hadi leo kwa sababu nyingi tu.
Mlipomfukuza zitto mlikua mnajenga chama,CCM kufukuza wasaliti waoga, UNAFIKI WA KIWANGO CHA JUUUjumbe umeupokea vizuri sana
Ningekuwa naruhusiwa ningekupa like 1000.Chadema wanaexercise dictatorship kabla hata hawajaingia madarakani... Sijui wakiingia itakuwaje?mkuu tukiitumia thread yako kama kipimo cha CDM, kule angebaki chacha wangwe tu kama angekuwa bado hai.