Kupitia sera nzuri za ccm imewezesha maji safi na salama kufika vijijini mwetu kwa uchimbaji wa visima kila kata na wananchi wengi wa maeneo hayo wamekuwa mashahidi kuhusu hili, mshana jr nenda vijiji vingi wakazi wengi wanaipenda sana ccm na wanaipa kura kwenye kila uchaguzi kwasababu wanaona matunda ya ccm mfano amani,barabara za lami,sekondari kwa kila kata,umeme umewafikia kila kijiji, zahanati kwa kila kata n.k na mheshimiwa kikwete ametoa maagizo kwa kila halmashauri zote nchini kuwa kila shule ya kata ya sekondari ijenge MAABARA, niambie leo huyu TPAUL anayeleta mada kama hizi hapa jf anakitendea ccm haki na yeye ni mnufaikaji wa ccm kupatiwa elimu bure. Nenda mikoani kama barabara ya ARUSHA mpaka SINGIDA ni lami tupu,nenda mtwara,lindi, simiyu,kilimanjaro kuna lami mpaka kwenye majumba ya watu mfano kwa MBOWE mpaka akampongeza RAIS KIKWETE NA CCM YETU. JE CCM TUWALAMBE WAPI WANANCHI MTUPONGEZE
mkuu umeniliza. ..Ni kweli kabisa CCM imejenga shule kila kijiji na imejenga maabara ya shule za kata na ufaulu umeongezeka. Asiye na macho haambiwi tazama, ona maendeleo tele ya CCM. Wananchi wote tuseme CCM oyeeeeee!!!!
View attachment 176651mkuu umeniliza...View attachment 176652 View attachment 176653 View attachment 176654
Kwenye kundi la plato mimi ni golden boy ndungu,nikudokeze kitu watanzania sasa wana maisha mazuri kwa mfano mimi naishi mbezi beach dar watu wana magari mazuri na majumba, ccm imewafanikisha kuwapatia miundo mbinu bora kupitisha magari yao. Nenda pale makongo juu,nenda mwenge pale mlimani city utawakuta watanzania wenye tabasamu wenye afya njema wana magari ya kifahari
View attachment 176468
Hawa kweli watakiona chuo kikuu?
Wewe ni ni tahira,sera nzuri za ccm zimewezesha matumizi mazuri ya kodi kuwasomesha kwa kuwapatia mikopo vyuoni
Great Thinker from Lumumba.......foleni ya magari Dar ni kielelezo cha maisha bora kwa kila mtanzania...by JK. Haya ni mawazo kutoka kuzimu!!!!
Mkuu unatukosea adabu sana kusema mawazo ya wachangiaji ni toka kuzimu, nikuambie kitu ccm ndio chama kilicholeta mwamko wa kisiasa hapa nchini kwa kuwahamasisha watu maeneo mbalimbali, pili wabunge wenu wa chadema wanawakataza wananchi wao kutokuchangia maendeleo yao mfano NI HUYU MBWIGA TUNDU LISU, halafu ninyi ninyi mnakuja na uharo wenu humu ndani kwamba ccm haina uchungu na nchi yetu ,katika vijana wenye ufahamu mdogo ni vijana wa chadema mnakuja na picha zenu humu za nchi nyingine kama sudani kudanganya umma kwamba ni tanzania
Duh! Eee bhana hiyo ni shule au ni kichanja cha kuanikia mazao ? Hivi jamani ccm wananchi wamewakosea nini lakini ?
MMARANGU WA KWANZA MbiSHI NA BINGWA WA MATUSI AFRICA .
watu wazima lakini wamejaa utapeli mtupu !Wanahangaika bure, siku hizi hata mataahira hawahudhurii mikutano yao, pamoja na kwamba wanawasomba kwa kutumia malori ya kubebea mifugo.
View attachment 176656
Wako tayari kuwatumia hata misukule na waabudu sanamu kutafuta kura na kuvutia wananchi kwenye mikutano yao, lakini bado watu hawajitokezi. CCM ni chama chakavu....kimezeeka, kimechoka na kinaelekea kaburini mwaka 2015. Na huu mchakato wa katiba mpya ndio utakaochukua roho yake.
View attachment 176658View attachment 176659
Mkuu ngorope kwa kweli CCM ni zaidi ya INTARAHAMWE. Watoto hawa wanateswa bure bila hatia wakati nchi yao imesheheni madini, misitu, ardhi, maziwa, na mito kila mahali. Inauma sana kuendelea kuishi chini ya utumwa huu wa CCM. Eee Mungu tufikishe haraka October, 2015, tujiondoe kwenye huu utumwa mamboleo.