CCM watatuua. Baada ya kutubebesha mizigo mizito na kutuvutisha magogo kwa muda mrefu, sasa wamekuja tena na tozo kandamizi za miamala kwa wanyonge. Ifike wakati wabunge wa CCM waliorundikana mle bungeni nao waanze kulipa kodi ili wajue uchungu wa kulipa kodi; sio kila siku wanawabebesha mizigo wanyonge tu.