Nina milion 15 nahitaji kiwanja kisichopungua ukubwa WA 1200 m2!!!! Maeneo ya Boko, Kigamboni, Bunju, mbweni jkt, kibada, tuangoma...kiwe mahali ambapo watu wameshaanza kujenga kwenye huduma za kijamii...uko pasta au kusikia naomba unijurishe...email yangu ni
woowtv@live.co.uk. Asante.
www.bongosingles.com