Mkuu, achana na hilo chizi
Agogwe. Baada ya kuhitimu kidato cha nne likapewa kazi kule Lumumba linaona limefika. Hebu tazama jinsi lilivyojipinda sakafuni na laptops walizopewa na
Nape Nnauye. Badala watetee maslahi yao kwanza wanakuja kumwaga pu.mba zao hapa. Hawa ni watu wasiojitambua. Kama wangekuwa na akili basi wangemuomba bosi wao
Nape Nnauye awanunulie meza badala wanapojipinda chini namna hii.
View attachment 185605