Sina roho ngumu, maisha ni jinsi unavyotaka yawe wewe mwenyewe,
Maji kwa sasa hakuna shida tena,
Hapa mjini maji yapo, na huko shamba nako yapo japo nasikia
wanakijiji hawataki maji ya genereta wanataka ya umeme,
kwa hali hiyo na umeme uko jirani kuja huko kijijini.