Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,424
- 406
Mkuu, napendaga sana hiyo malizia yako " Back Tanganyika". Ni hilo tu kwa leo.Najuta kwanini nilikuwa nauupuuza uzi huu nikijua utakuwa unahusiana na propaganda za chama chakavu, kumbe kuna madini ya hatari namna hii.....hatari sana aiseee.......
Nilikuwa na hasira na ccm asilimia tisini, sasa zimeongezeka asilimia tisa, mean 99% Maccm kaa mbali na mimi nisije nikavuna kesi isiyo na maana yoyote kwangu....I warn you!!!!!!
Mkuu tpaul barikiwa sana Kamanda Uzi wako ukisambaa vijiji viwili tu hapa Tz nakuhakikishia maccm hayatapata hata viti viwili vya uenyekiti wa mtaa achia mbali Kitongoji.
BACK TANGANYIKA
avatar yako na akili zako zinafanana mkuu, sina wakati na siasa za udanganyifu
Knock yourself out pal.
Have a horse as well if you like!
Mkuu, napendaga sana hiyo malizia yako " Back Tanganyika". Ni hilo tu kwa leo.
Pamaoja sana Kamanda.
BACK TANGANYIKA
huu uzi naomba mods atoe hewani unapotosha umma na kukichafua chama changu changu ccm.picha wanazorusha sio za watanzania ninaowafahamu
huu uzi naomba mods atoe hewani unapotosha umma na kukichafua chama changu changu ccm.picha wanazorusha sio za watanzania ninaowafahamu
Kwi! Kwi! Kwiiii!!! 2015 parapanda italia , muulize LAWLENCE MASHA maana ya parapanda italia .
Hahaha hahaha hahaha huu UZI ni mwiba mchungu sana kwa magamba Hahaha hahaha hahahahuu uzi naomba mods atoe hewani unapotosha umma na kukichafua chama changu changu ccm.picha wanazorusha sio za watanzania ninaowafahamu
Hahaha hahaha hahaha huu UZI ni mwiba mchungu sana kwa magamba Hahaha hahaha hahaha
Hongera mada nzuri na INA mashiko ya kutosha na vielelezo vinavyojitosheleza.
Mjinga abishe tu.
huu uzi naomba mods atoe hewani unapotosha umma na kukichafua chama changu changu ccm.picha wanazorusha sio za watanzania ninaowafahamu
Uzi wenye hoja kuntu kama huu ni mwiba kwa maCCM, hasa hawa buku 7. Tazama jinsi wanavyopinda migongo sakafuni. Wakiendelea kama hivi mpaka mwaka ujao migongo itaota vibiongo. Bosi wao Nape Nnauye anakula maisha kwa kutumia fedha za ruzuku yeye mwenyewe, ameshindwa hata kuwanunulia madawati waweke lap tops zao badala yake wanaziweka sakafuni. Buku 7 hebu mwambieni bosi wenu awanunulie na madawati basi....au alipowanunulia lap tops alidhani amemaliza kazi? Ikiwa nyinyi mnashindwa kujiboreshea mazingira ya kazi mtawezaje kuboresha maisha ya watanzania milioni 45? Njaa zitawaua!!!!
View attachment 179847
Ha! Ha! Haaaa ! Eee bhana hii ndio ile wodi mpya ya majeruhi wa bodaboda ?
Posho. Posho ndio habari ya mjini, mkuu. Hata wakubwa wao kule Dodoma wanafahamu hilo. Kinachowaweka pale ni poho tu, hakuna kingine zaidi ya hicho.
View attachment 179849