CCM na wakristo ndio vinara wa udini.

CCM na wakristo ndio vinara wa udini.

Status
Not open for further replies.

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
3,605
Reaction score
551
Ni suala lilo wazi kabisa kwamba CCM kwa sasa ndio chama kinachoongoza kufanya siasa kwenye nyumba za ibada(Makanisani na Misikitini) huku kikirusha tuhuma hizo kwa vyama vingine vya upinzani kama njia ya kujihami.

Lakini pia wakristo kupitia makanisa yao kwa sasa ndio wanaongoza kama majukwaa rasmi ya makada wa CCM (Hususani wagombea urais wa CCM na wapambe wao), lakini wakati huo huo wakristo wakirusha shutuma za udini kwa jamii ya kiislam kama njia ya kujihami.

Kila kukicha msururu wa wanasiasa wa CCM utawakuta makanisani wakipewa madhabahu kutangaza mikakati yao ya kisiasa, wakitoa mabilioni ya pesa kama michango nk.

Ikumbukwe pia ni CCM iliyoweka suala la kidini(mahakama ya Kadhi) kwenye ilani yake ya uchaguzi 2005 pasipo jamii ya wakristo kuhoji na pia ni maaskofu ndio waliomtangaza Kikwete kama chaguo la Mungu pasipo CCM kukemia hilo.

Hali hii inatutia mashaka watu wa imani nyingine kwani ni lazima CCM na Kanisa vimefanya agano kwa ajili ya kunufaika kila upande, yaani CCM kisiasa na Kanisa kidini.
 
kwa muda mrefu sasa jamii imekua ikipiga kuhusu siasa sehemu za ibada.
lakini kwet sisi waislam tumeruhusiwa kujadili siasa misikitini.
kipindi cha mtume aliihubiri msikitini,
hii inakuja kwa sababu uislam ni dini kamili ya maisha ya mwanaadamu.
kwa hiyo kila kitu kipo humo ndani ya uislam.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom