Mwenzako Lucas mwashambwa atakuelekeza.Wanajamvi shalom!.
Nakubali Nina kadi ya CCM, lakini sitaitendea haki roho na nafsi yangu nikikubaliana na ukengeufu unaoendelea ndani ya chama hiki. Badala ya kushughulika na ukosefu wa umeme ambao ni kikwazo kikub wa kwa ukuaji wa Taifa letu linalochechemea kiuchumi, wanaleta habari za kurithishana uongozi kwa la lijitu linaloitwa chipukizi. Kwanza sio afya kwa Taifa kuwagawa watoto kwa itikadi za kisiasa badala ya kuwapa elimu yenye tija ili watakapokua wajue wachague kipi?!. Nasema hivyo sababu sisi CCM tumeanza vipi CHADEMA na CUF nao wakiiga!? Si tutaigawana nchi vipande hapo baadae?.
Pia ninachokiona CCM ni mfumo wa kifalme yaani mtoto wa kiongozi ndiye anapewa anachokitaka kura na kampeni uchwara ni maigizo tu.
Ndugu zangu wana CCM tuliangalie sana hili kwa jicho la tatu, tunakizika chama tukemee hili kwa nguvu zote bila hofu Wala aibu tusikubali kuwa machawa. Sifa ya chawa ni uchafu.
kwa bandiko kama hii ndio unalipwa shi ngapi?Wanajamvi shalom!.

Hivi Lucas mwashambwa huna mtoto? Kama huna mtoto, je, huna hata mdogo wako?Mwenzako Lucas mwashambwa atakuelekeza.
Tapeli tu hilokwa bandiko kama hii ndio unalipwa shi ngapi?
Kama ana mtoto atakuwa tutusa tu kama mama yakeHivi Lucas mwashambwa huna mtoto? Kama huna mtoto, je, huna hata mdogo wako?
Unajisikiane pale ambapo wewe unatumika kama dodoki kutakatisha wenzako na watoto wao huku wewe ukiendelea kuumiza vidole kwenye keyboard kuwasifia??
nimelisoma mapema sana,Tapeli tu hilo
Jamaa siyo rahisi kuwatoa kwenye mfumoHuo ni ukweli mchungu, keki ya taifa wamekatiana wao.
Ana watoto watatu, ni mama wa makamoHivi Lucas mwashambwa huna mtoto? Kama huna mtoto, je, huna hata mdogo wako?