Sipendi Ubepari
JF-Expert Member
- Jan 12, 2012
- 249
- 40
wametaja gazeti la udaku la tz daima!!!!!! hilo ni sawa na magazeti ya udaku yanayomilikiwa na shigongo kama vile uwazi,ijumaa na kiu..take care mkuu.Gazeti la Tanzania Daima kupitia ITV Magazeti asubuhi hii limesomwa na kuoneshwa kicha cha habari kwamba "UKAWA na CCM walimwa barua". Huku Songea hatupati mapema magazeti hayo, hivyo mwenye nakala ya gazeti hilo atubandikie hapa tuone ni mamlaka ipi imetoa barua hiyo kwa ccm na UKAWA.
linaandika habari za mapenzi ya jinsia moja yanayofanywa usiku pale bilicanas club ya mboweHilo gazeti LA Mbowe tunafungia vitumbua hatusomagi sisi huku kwetu
Gazeti la Tanzania Daima kupitia ITV Magazeti asubuhi hii limesomwa na kuoneshwa kicha cha habari kwamba "UKAWA na CCM walimwa barua". Huku Songea hatupati mapema magazeti hayo, hivyo mwenye nakala ya gazeti hilo atubandikie hapa tuone ni mamlaka ipi imetoa barua hiyo kwa ccm na UKAWA.

Hilo gazeti LA Mbowe tunafungia vitumbua hatusomagi sisi huku kwetu

wametaja gazeti la udaku la tz daima!!!!!! hilo ni sawa na magazeti ya udaku yanayomilikiwa na shigongo kama vile uwazi,ijumaa na kiu..take care mkuu.