Hawa ndorobo ndiyo wanazidi kujimaliza na kutupatia hoja za kuwashawishi wananchi kwa nini ni hasara kuwa na wabunge wengi wa ccm, wenyewe wanafikri wanawakomoa ukawa kumbe ndiyo wanawiapa nondo za kuwachapia, asanteni sana mafisi wa kijani toka lumumba.