Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Aje na facts sio kubwabwaja tuBado Lizaboni amelala vinginevyo tarajia matusi
lizabon yupo Kwa Lipumba wanakula pesa alizopewa Kwa ajili ya kuibomoa CUFBado Lizaboni amelala vinginevyo tarajia matusi
Ni kweli Mkuu CCM wanamuogopa sana ndo maana walimkata mapema, CHADEMA hawamuogopi kabsa ndo Maana walichana mapema list of Shame alipofika tu Ufipa.Mkutano wa juzi wa CCM umerihirisha rasmi kuwa CCM na serikali yake wanamuogopa Laigwani. Haiwezekani kila siku watu wanaongea kwenye korido eti Lowaasa fisadi. CCM na serikali yake ina vyombo vya dola lakini inaishia kupiga kelele kwenye vyombo vya habari. Huo ni uoga usio na maana,kama wana ushahidi si waende mahakamani?? Na kwa busara ya hali ya juu Laigwani yupo zake kimya anawaangalia tu wanavyotapatapa. Mkutano wa juzi umedhihirisha ni kiasi gani Lowasa anaogopwa.
Mzee wa upako nae alivyohojiwa kuhusu lowasa kutajwa sana juzi alisema hivi nanakuu "Nani! Lowassa…. jina lake kutajwa sana katika vikao vya CCM. Hiyo inaashiria kuwa ni mtu tishio. Ndiyo ni tishio na Sizungumzi haya kwa ajili ya kujipendekeza, sihitaji ukuu wa wilaya ”
Salute kwako Lowasa,watabaki kupiga kelele tu lakini hakuna atakaekugusa.
Kwa kidhungu mtu kama yeye wanamuita Strategist...Ni kweli Mkuu CCM wanamuogopa sana ndo maana walimkata mapema, CHADEMA hawamuogopi kabsa ndo Maana walichana mapema list of Shame alipofika tu Ufipa.
Mheshimu sana huyu Mzee Maana huwa anaishi maneno yake, akiwa CCM alisema "nitawashinda adui zangu ndani na nje ya chama"
Mkutano wa juzi wa CCM umerihirisha rasmi kuwa CCM na serikali yake wanamuogopa Laigwani. Haiwezekani kila siku watu wanaongea kwenye korido eti Lowaasa fisadi. CCM na serikali yake ina vyombo vya dola lakini inaishia kupiga kelele kwenye vyombo vya habari. Huo ni uoga usio na maana,kama wana ushahidi si waende mahakamani?? Na kwa busara ya hali ya juu Laigwani yupo zake kimya anawaangalia tu wanavyotapatapa. Mkutano wa juzi umedhihirisha ni kiasi gani Lowasa anaogopwa.
Mzee wa upako nae alivyohojiwa kuhusu lowasa kutajwa sana juzi alisema hivi nanakuu "Nani! Lowassa…. jina lake kutajwa sana katika vikao vya CCM. Hiyo inaashiria kuwa ni mtu tishio. Ndiyo ni tishio na Sizungumzi haya kwa ajili ya kujipendekeza, sihitaji ukuu wa wilaya ”
Salute kwako Lowasa,watabaki kupiga kelele tu lakini hakuna atakaekugusa.
Ni ukweli yasemwayo, hana la kujitetea. Counter check na Mnyika ana ushahidi wote.Jiulize kwanza kwa nini yeye yuko kimya?
Hata shetani anatajwa Kila dakika na wanadamu...pia anaogopwaMkutano wa juzi wa CCM umerihirisha rasmi kuwa CCM na serikali yake wanamuogopa Laigwani. Haiwezekani kila siku watu wanaongea kwenye korido eti Lowaasa fisadi. CCM na serikali yake ina vyombo vya dola lakini inaishia kupiga kelele kwenye vyombo vya habari. Huo ni uoga usio na maana,kama wana ushahidi si waende mahakamani?? Na kwa busara ya hali ya juu Laigwani yupo zake kimya anawaangalia tu wanavyotapatapa. Mkutano wa juzi umedhihirisha ni kiasi gani Lowasa anaogopwa.
Mzee wa upako nae alivyohojiwa kuhusu lowasa kutajwa sana juzi alisema hivi nanakuu "Nani! Lowassa…. jina lake kutajwa sana katika vikao vya CCM. Hiyo inaashiria kuwa ni mtu tishio. Ndiyo ni tishio na Sizungumzi haya kwa ajili ya kujipendekeza, sihitaji ukuu wa wilaya ”
Salute kwako Lowasa,watabaki kupiga kelele tu lakini hakuna atakaekugusa.
nyie ufipa ndio mnamuogopa mliandamna nchi nzima kusema yeye fisadi sasa mmemukumbatia .. shameMkutano wa juzi wa CCM umerihirisha rasmi kuwa CCM na serikali yake wanamuogopa Laigwani. Haiwezekani kila siku watu wanaongea kwenye korido eti Lowaasa fisadi. CCM na serikali yake ina vyombo vya dola lakini inaishia kupiga kelele kwenye vyombo vya habari. Huo ni uoga usio na maana,kama wana ushahidi si waende mahakamani?? Na kwa busara ya hali ya juu Laigwani yupo zake kimya anawaangalia tu wanavyotapatapa. Mkutano wa juzi umedhihirisha ni kiasi gani Lowasa anaogopwa.
Mzee wa upako nae alivyohojiwa kuhusu lowasa kutajwa sana juzi alisema hivi nanakuu "Nani! Lowassa…. jina lake kutajwa sana katika vikao vya CCM. Hiyo inaashiria kuwa ni mtu tishio. Ndiyo ni tishio na Sizungumzi haya kwa ajili ya kujipendekeza, sihitaji ukuu wa wilaya ”
Salute kwako Lowasa,watabaki kupiga kelele tu lakini hakuna atakaekugusa.
Wanamuogopa?Mkutano wa juzi wa CCM umerihirisha rasmi kuwa CCM na serikali yake wanamuogopa Laigwani. Haiwezekani kila siku watu wanaongea kwenye korido eti Lowaasa fisadi. CCM na serikali yake ina vyombo vya dola lakini inaishia kupiga kelele kwenye vyombo vya habari. Huo ni uoga usio na maana,kama wana ushahidi si waende mahakamani?? Na kwa busara ya hali ya juu Laigwani yupo zake kimya anawaangalia tu wanavyotapatapa. Mkutano wa juzi umedhihirisha ni kiasi gani Lowasa anaogopwa.
Mzee wa upako nae alivyohojiwa kuhusu lowasa kutajwa sana juzi alisema hivi nanakuu "Nani! Lowassa…. jina lake kutajwa sana katika vikao vya CCM. Hiyo inaashiria kuwa ni mtu tishio. Ndiyo ni tishio na Sizungumzi haya kwa ajili ya kujipendekeza, sihitaji ukuu wa wilaya ”
Salute kwako Lowasa,watabaki kupiga kelele tu lakini hakuna atakaekugusa.
Walivyojua ukweli wakanyamaza...si apelekwe mahakamani?wakishindwa wananchi tufungueni kesi kama inawezekana nchi ipepesuke🙁nyie ufipa ndio mnamuogopa mliandamna nchi nzima kusema yeye fisadi sasa mmemukumbatia .. shame
Labda tukuulize wewe. Kwanini kwenye ule mkutano lowassa alikua agenda yenu kubwa?Hivi, huyu anayejiita Mzee wa upako ana umri gani? Mbona anaonekana ni mtu mzima lakini anaongea kama vijana waliozaliwa '90 na kuendelea? Yaelekea hajui siasa na wanasiasa mwaka '95 ilikuwaje. Ndo maana hajui neno ukoma liliingiaje katika siasa mwaka huo. Kama angelijua asingezungumza upuuzi huo. Mzee wa upako, Askofu Gwajima duh!! iko kazi.
Jibu hoja kwa nini mnasena ni fisadi kakini mahakamani hamumpeleki??Kama fisadi lako lako Lowasa angeogopewa si angekuwa Raisi wa JMTZ leo hii?