technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,672
Kwanza kabisa nimpe pole Max kwenye hiki kipindi anachopitia na ujasiri anao uonyesha wa kutoteteleka kutoka kwa uonevu anaofanyiwa na utawala ulioamua kutokosolewa.
Nirudi kwa ccm,Ccm msitufanye watanzania ni wajinga au watoto kwa mambo mnayoendelea kuyafanya.
Naomba mnijibu maswali yafuatayo.
1: Kwanini Sheria ya Gesi ambayo ni rasilimali ya taifa mswada wake ulipitishwa kwa hati ya dharura?.
2 : Kwanini Sheria mpya ya Habari mlihonga wabunge milion 10 kwa mjibu wa Mbowe maana hamjawai kukanusha ili mpitishe haraka na ianze kufanya Kazi?...
3: Kwanini sheria ya mitandaoni (cyber crime) ilipitishwa kwa hati ya dharura tena usiku ?
Hivi sheria nzuri unawezaje kukipitisha kwa dharura?
Sheria nzuri inawezaje kuvunja matakwa ya katiba ya nchi ?
Hivi ni kipi kikubwa kati ya Sheria na Katiba?
Hivi sheria zinazowahusu watanzania zaidi ya Milioni 50 inawezaje kuchambuliwa na kupitishwaje na fisadi chenge tena kwa hati ya darura?......
Ccm muache Mara moja kuwafanya watanzania wote ni wajinga endeleeni kuwaburuza wajinga lakini watu tunaojielewa mtuache tufanye mambo yetu kwa Uhuru .
Mimi binafisi sitanyamaza,na sitanyamazishwa kuusema ukweli kwa kumsema mtu yeyote hasa wanaochezea amani ya nchi .
Ccm mkumbuke chuki mnayoipandikiza itawarudia nyie wenyewe kwa maono yangu.
"Love is the only force capable of transforming an enemy into a friend. Darkness cannot drive at darkness, Only light Can do that,And Hate cannot drive out hate, Only Love can do that"
Tuachieni Uhuru wetu wa kutoa maoni
Kwanini wewe unachangia hiyo habari kama aijakugusa gambaSasa kama umeshaamua ulivyoamua unaleta Habari ya nini hapa? Si ufanye unalotaka kufanya?
Vita hii ni kubwa na imewakatisha tamaa sana watanzaniaacha tuitumie jf yetu kimwishoo!maana kumechafukwa huku!sasa hivi malaika anaizima maana ameshika swichi
Tatizo watanzania wengi waoga kama tu panya road wanawakimbiza watu barabarani hao Ffu vp itakuajeSiku wananchi wakichoka, si kikosi maalum, FFU, wala kiongozi yeyote atakaeweza kuuzima huo moto.
Viongozi na chama tawala wasilewe sifa na kusahau wajibu wao. Wanaendesha mambo kwa kujali maslahi yao binafsi tu.
hivi kwa post hii na zingine za aina hii Max atapata dhamana kweli?wewe unaitukana na kuikashifu serikali kwa vitu vya kusikia,, je kesho tukisikia umekatwa ukajieleze juu ya kauli zako,,je tutasema serikali hii ni dikteta?Sasa hivi watamuuzia dangote gesi kwa bei ya kutupwa, nasikia na yale magari zaidi ya mia sita hayajalipiwa kodi sasa sijui wanataka kuua viwanda vingine vya cement, mwekezaji wa kiwanda cha mbolea ambaye ametia saini leo amesema atapewa gesi bure, sasa nimeelewa kwa nini miswaada ile ilisainiwa kwa dharula tena usiku
Watetea mafisadi wa ufipa hata wangepewa miaka 20 kuisoma hiyo sheria wasingekubali kupitisha sheria ambayo itakuja kuwabana wapotoshaji, waongo, wanafiki ,wachawi na mafisadi wenzao wa hapo ufipaKwanza kabisa nimpe pole Max kwenye hiki kipindi anachopitia na ujasiri anao uonyesha wa kutoteteleka kutoka kwa uonevu anaofanyiwa na utawala ulioamua kutokosolewa.
Nirudi kwa ccm,Ccm msitufanye watanzania ni wajinga au watoto kwa mambo mnayoendelea kuyafanya.
Naomba mnijibu maswali yafuatayo.
1: Kwanini Sheria ya Gesi ambayo ni rasilimali ya taifa mswada wake ulipitishwa kwa hati ya dharura?.
2 : Kwanini Sheria mpya ya Habari mlihonga wabunge milion 10 kwa mjibu wa Mbowe maana hamjawai kukanusha ili mpitishe haraka na ianze kufanya Kazi?...
3: Kwanini sheria ya mitandaoni (cyber crime) ilipitishwa kwa hati ya dharura tena usiku ?
Hivi sheria nzuri unawezaje kukipitisha kwa dharura?
Sheria nzuri inawezaje kuvunja matakwa ya katiba ya nchi ?
Hivi ni kipi kikubwa kati ya Sheria na Katiba?
Hivi sheria zinazowahusu watanzania zaidi ya Milioni 50 inawezaje kuchambuliwa na kupitishwaje na fisadi chenge tena kwa hati ya darura?......
Ccm muache Mara moja kuwafanya watanzania wote ni wajinga endeleeni kuwaburuza wajinga lakini watu tunaojielewa mtuache tufanye mambo yetu kwa Uhuru .
Mimi binafisi sitanyamaza,na sitanyamazishwa kuusema ukweli kwa kumsema mtu yeyote hasa wanaochezea amani ya nchi .
Ccm mkumbuke chuki mnayoipandikiza itawarudia nyie wenyewe kwa maono yangu.
"Love is the only force capable of transforming an enemy into a friend. Darkness cannot drive at darkness, Only light Can do that,And Hate cannot drive out hate, Only Love can do that"
Tuachieni Uhuru wetu wa kutoa maoni
hivi kwa post hii na zingine za aina hii Max atapata dhamana kweli?wewe unaitukana na kuikashifu serikali kwa vitu vya kusikia,, je kesho tukisikia umekatwa ukajieleze juu ya kauli zako,,je tutasema serikali hii ni dikteta?
Tatizo serikali ya hawamu ya 4 iliendekeza upuuzi wote huu na kuifanya taasisi ya uraisi kuwa km mjumbe wa nyumba kumi lakini kwa hawamu hii HESHIMA NA THAMANI YA TAASISI YA URAIS NA IKULU LAZIMA IRUDI!!!
Wewe ndio usaidiwe Ajira uachane na bk 7 kujitoa fahamu kutetea upumbavuUkijiona mjinga hakuna namna tunaweza kukusaidia
hivi kwa post hii na zingine za kipumbavu km hii Max atapata dhamana kweli?wewe unaitukana na kuikashifu serikali kwa vitu vya kusikia,, je kesho tukisikia umekatwa ukajieleze juu ya kauli zako,,je tutasema serikali hii ni dikteta?
Tatizo serikali ya hawamu ya 4 iliendekeza upuuzi wote huu na kuifanya taasisi ya uraisi kuwa km mjumbe wa nyumba kumi lakini kwa hawamu hii HESHIMA NA THAMANI YA TAASISI YA URAIS NA IKULU LAZIMA IRUDI!!!
Bora hata angefuata katiba sasa katiba yenyewe kaweka pembeni eti ananyoosha nchi...nonsense....Tuliambiwa toka zamani kwamba kwa katiba hii tuliyonayo akipatikana raisi anaejua kuitumia jua tumekwisha.Sasa ndio ameshapatikana tayari