Juma Mohamed ally alikuwa ni nani CCM Zanzibar..? au umeweka post umekurupuka kutoka usingizini...? Taarifa ambayo imetangazwa ni kwamba CCM Zanzibar imepata pigo kwa kada wake wa siku nyingi anaitwa Mohamed Hashim Ismail amejiunga na Cuf na anagombea nafasi ya uwakilishi Katika jimbo la dimani, kada huyu aliwahi kuwa MNEC, na naibu waziri katika awamu ya DR salmin, aidha alikuwa Kamishna wa Bodi ya mapato ZNZ kuanzia 2001-2013.