RICH MAVOKO
Member
- Dec 10, 2013
- 35
- 16
chama kilichojichokea na dhaifu cha mizigo almaalufu ccm kinaongozwa kwa kurithishana madaraka mithili ya enzi za machifu na hakuna nafasi kwa watoto wa maskini kupata madaraka.january makamba,vita kawawa,nape nnauye,ridhiwani kikwete,fredrick lowassa,hussen mwinyi na wengi wengi ni matokeo ya mfumo wa kifalme ndani ya chiziemu.ndani ya CHIZIEMU vijana hawana nafasi na yeyote anayehitji nafasi ndani ya chiziemu lazma awe fisadi.VIONGOZI WA CCM HURITHISHA WATOTO WAO,IKO WAPI NAFASI YA KIJANA CHIZIEMU??.babu yangu the late HENRY M. LIMIHAGATI aliuchukia mfumo huu wq kifalme.