Walishamshindwa gwajima,nawakashtukiwa
Mapema sana,aibu ikavuka mipaka ya nchi,sasa ndo wataweza kwa yeyote ? Wataishia aibu tu,kuliko waliyo ipata kwa gwajima !
Yaani sasa hivi ccm ni kama hawara mbele ya make wa ndoa ! Wana badilisha kila gia,wakidhani wananchi wata waamini.
Kadiri Siku zinavyopita,ndo ccm inavyozidi kujitia aibu kwa ujinga unaomea mvi na shadubu.
Misiba ikigusa upinzani,wanachanganyiki
iwa,kiasi cha kujitoa ufahamu,kuzuia uombolezaji,rambirambi,utoaji pole,kwakujua misiba hiyo itajaa watu
Na watamfurahia Kowasa ! Matokeo yake wanaishia kupora na rambirambi za wapinzani.
Siasa,wamekataza Lowasa,asizingirwe na wananchi,kwakua watu watamjalia kuliko magofili,na yeyote wa ccm !
Sasa kuogopa hiyo aibu,wanazuia kila tukio
Litakalo mkutanisha Lowasa na umma !
Haisaidii,huyu mtu,watu wamesha mbeba miyoyoni mwao,labda muwauwe wapenzi wake wote na wapo wasio na vyama pia bila kusahau wengine wa ccm.mtaua wangapi ! Na ni zaidi ya nusu ya watu nchini.
Ccm hamtakaa mkubalike tena hata mgawe vitita vya hela mitaani,zitaliwa tu na nyoyo za wengi kubaki kwa Lowasa.
Zaidi sana kinachozidi
Kuharibu,ni hilo kundi la wanaohongwa na kuingia mitandaoni kuunga mkono mambo ambayo yapo wazi kabisa yakionyesha,ubaya wa serikali dhidi ya wengi,kama ukandamizaji,uonevu,uuwaji,uingiliaji misiba ya wapinzani,mikusanyiko ya wapinzani,haki za wabunge wa upinzani bungeni,yule kijana aliyezindua kitabu juu ya
Mwanafunzi,chuo kikuu nk.kundi hili linalosaidia ccm kibabe maeneo mengi,ndo baya zaidi !
Linazidi kufanya watu wengi sana kuichukia ccm.ila mwisho wa amani haupo mbali,na sababu ikiwa ccm,tusubiri tu,tutashuhudia.